MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 424
- 427
Nini maoni yako
HahaaaaaBwege mmoja atahoji iweje Samata asiitwe.
Tukuulize wwKaseja bado hajastaafu....
Ana umri gani kwa sasa?
Moyo umeniuma sana kama Chilunda msimu unaoanza atacheza kwenye vile viwanja kama mashamba ya viaziShaban Iddy Chilunda (Azam FC)?
Ningekuwa najua nisingeulizaTukuulize ww
Na mdogo wa bwana yule akienda ndo basi tenaHii timu wameivuruga sana hivyo basi tusubiri kipigo tu hakuna namna.
Chan ni kwa ajili ya wachezaji wanaocheza ligi ya ndani tu, siyo nje ya nchi yakomsuva mbn hayupo? au morroco haipo africa?