Taifa ni watu. Taifa fulani linapokuwa maskini au tajiri huashiria umaskini au utajiri wa Taifa hilo. Uchumi wa nchi unapokua au kuanguka humaanisha uchumi wa wananchi wa nchi hiyo unakua au kuanguka.
Nchi yetu imejaliwa kila kitu chema lakini tumenyimwa super intelligent leaders. Yaani...
Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili.
Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
Uongozi wa Hospitali ya KCMC umetoa taarifa ya kuruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa ambaye atakuwa amelazwa hospitalini ambao watakuwa na vitambulisho maalum
Aidha wagonjwa wanaoenda klini au kuanzamatibabu wametakiwa kwenda peke yao au kuwa na ndugu mmoja iwapo watakuwa wamezidiwa
Hospitali zote na vituo vya afya nchini zimeagizwa kutoa damu kwa Mgonjwa mwenye uhitaji huku wataalamu wa afya wakisisitizwa kuendelea kutoa elimu kuhusu uchangiaji damu kwa hiari, kupitia vituo vya Kanda, Mikoa, Halmashauri na maeneo yatakayokuwa yameandaliwa kwa ajili ya uchangiaji damu...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
Ushahidi huu hapa
Natoa pole kwa Wafiwa .
zaidi soma:
https://www.jamiiforums.com/threads/mama-anna-mghwira-usiongee-sana-peleka-vielelezo-juu-ya-kifo-cha-mama-yake-hoyce-temu.1872308/...
Habari wapendwa,
Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili.
Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa...
Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?
Na international law inasemaje?
Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wamewafukuza kazi daktari na muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tumuma za kumtoa mgonjwa wodini na kumpeleka nyumba ya kulala wageni na kumfanyia ya upasuaji wa tezi dume.
Wakizungumza leo Jumanne 9 katika baraza kikao cha...
Hili gonjwa lipo na siku ukibahatika kumuona mgonjwa wa COVID19,utataka siku hiyohiyo uchanjwe chanjo yake.
Kama hujaona ndugu yangu basi omba usione wewe kubali kuchanjwa tu siku ikifika uachane na siasa.
Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
Ofisa lishe mtafiti mwandamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC), Dk Analace Kamala alisema minyoo husababisha madhara mbalimbali ikiwemo hilo la kupata matatizo ya akili.
Akiwasilisha mada katika semina kwa wanachama wa klabu ya waandishi Mkoa wa Dar es Salaam(DCPC) ya kuwajengea uwezo...
Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu
Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema
Kama...
Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi vya SARS-CoV-2 viliweza kuenea nje ya China mapema kuliko watu wanavyofikiria.
Shirika la Afya...
Mdogo wangu ni retired Dr. Juzi alikuwa anaangalia kumbukumbu ya kifo kwenye tv. Moja ya tangazo aliloliona ni tangazo la mgonjwa aliyefariki miaka 12 baada ya kumfanyia upasuaji, alishtuka na kuumia sana.
Mdogo wangu aliumia si kwa sababu nyingine bali anaeleza kuwa wao madaktari ni walinzi wa...
Kichwa chajieleza, nimeshuhudia kwa macho yangu mgonjwa akijirusha ghorofa ya juu sana, pale kairuki hospital, na kufika chini mifupa ikiwa inaonekana.
Nilishangaa kuona manesi wanaulizana kumbeba yule mgonjwa kumuweka katika gari ya wagonjwa.
Kama dakika tano hivi yule mgonjwa alipoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.