mgonjwa

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali: Hakuna mgonjwa wa Homa ya Nyani nchini

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa kuhusu Ugonjwa wa Homa ya...
  2. The Clinical Pharmacist

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa nne aliyepona UKIMWI

    Habari gani ndugu zangu wanajamvi la Habari Mchanganyiko. Habari zetu zinaanzia huko carlfonia, Marekani ambako mgonjwa wa HIV ambaye ametumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, almaarufu kama ARV, kwa muda mrefu takribani miaka 30 sasa amekutwa hana Virusi hivyo. Hiyo imetokea...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Ugonjwa wa Homa ya Mgunda hakuna mgonjwa mpya

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema: “Taarifa za ufuatiliaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wataalam wetu walioko Mkoani Lindi zinaonesha kuwa toka tarehe 18 Julai 2022 hadi sasa hakuna mgonjwa mpya aliyeonesha dalili za ugonjwa huu. Hivyo hadi kufikia asubuhi ya leo tarehe 29 Julai 2022, idadi ya...
  4. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

    Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Wizara ya Kilimo, Frorence Samwel anadai fidia ya Sh500 milioni Hospitali za TMJ na Hindu Mandal za jijini Dar es Salaam na daktari Moirice Mavura kwa kile anachodai kuwa ni uzembe katika kumtibu. Pia amedai alipwe Sh53 milioni kwa ajili ya gharama mbalimbali...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale mnaokurupuka kuja kutoa Kwetu taarifa za Mgonjwa Mahututi au Kifo muwe makini kwani kuna Siku tutawasindikizeni na Vipigo tu

    Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic?

    Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
  8. Juandeglo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mgonjwa wa Ukimwi

    Full blood picture in display Viral Load kwa maabara zetu za bongo?? Au ni vipimo viwili tofauti??
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DRC: Mgonjwa wa pili wa Ebola afariki dunia

    Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC. Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko mpya wa ugonjwa huo kutokea DRC. WHO imesema uchunguzi wa vinasaba ulionesha maambukizo mapya...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DAR: Mgonjwa atibiwa tatizo kwenye ubongo bila kufungua fuvu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Ramaiah India imeendesha kambi maalum ya uchunguzi na tiba ya mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu kwa mbinu za kisasa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema zaidi ya wagonjwa 160...
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi wamama /wanawake awasadiani siti kwenye bus wakimuona mama mtu mzima au mgonjwa au mwenye mtoto

    Hii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

    Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ntakuwa mgonjwa

    Mke wangu alienda kwao kujifungua,Zimepita siku 70, nimechepuka Mara moja tu Tena mechi ya muda mfupi,najikuta daily nipo bussy na kazi , nikurudi jioni Ni kupita bar Kula mitungi Kisha kulala, hii hali ya ubize imeanzza kunishitua Sana kuwa huenda sipo sawa ,
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Imeelezwa kuwa Ole Sabaya anaumwa, kesi yaahirishwa hadi tarehe 4/11/2021

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo Jumatano Novemba 3, 2021 imeahirishwa hadi kesho kwa kuwa Sabaya ni mgonjwa. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana shauri la Sabaya lilipanga kuendelea kusikilizwa leo ambapo shahidi...
  16. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Matendo ya huruma: Ulishawahi kwenda kumuona mgonjwa halafu akakuuliza amekwambia nani naumwa?

    "Amewaambia nani naumwa?" nimekumbuka haya maneno tuliambiwa na jirani yetu mgonjwa baada ya kusikia anaumwa tukasema ngoja tukamuone ila kilichotukuta mpaka huwa nawaza Mara mbili mbili namna ya kwenda kumuona mgonjwa. Jamii yetu bado haielewi kama suala LA kuumwa linabaki kuwa la familia au...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya unapomuuguza mgonjwa wa COVID-19 nyumbani

    Mtenge mgonjwa katika chumba cha peke yake, mgonjwa ale au alishwe katika chumba chake. Vaa barakoa kila unapoingia chumba cha mgonjwa. - Safisha vyombo vyake kwa maji ya moto ukiwa na glovu, usitumie vyombo vya mgonjwa - Safisha mikono yako baada ya kumhudumia - Kuwa na mawasiliano ya...
  18. Osmokalu

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya fistula, msaada wenu madaktari ni jinsi gani ifanyike ili mgonjwa aweze kupona

    Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa, baada ya jipu kupasuka imetengeneza njia ambayo ina uhusiano na njia ya haja kubwa, hivyo basi...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi kile kitendo cha Daktari kumfumua Mgonjwa nyuzi kina tofauti gani na pale Madaktari wanapoamua kugoma?

    Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta. Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili. Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
Back
Top Bottom