mgonjwa

  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania KWELI Nyama nyekundu ni hatari kwa Mgonjwa mwenye kisukari

    Hivi ni kweli kuwa nyama nyekundu ya mifugo kama ng'ombe, mbuzi na kondoo humletea matatizo mgonjwa wa kisukari?
  2. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nipo hospitali Mgonjwa amejifungua kwa operation ila damu wanasema hawajamuongezea kwahiyo tulipe, tuchangie, au tuondoke kwa kusaini

    Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo, Kutoka nimeambiwa haiwezekani. Mpaka either tuchangie damu, Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1 Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa Magufuli mlilazimisha nchi iambiwe anaumwa nini ila kwa mwasisi wa chama chenu mnaheshimu haki ya usiri wa mgonjwa

    Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa. =========== Akitoa salamu za rambirambi mbele ya familia ya marehemu, Mnyika amesema Masinde alifariki kwa ugonjwa wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo. Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Mbaroni akidaiwa kubaka mgonjwa wake

    JF SUMMARY Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini. Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
  8. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga interests za mgonjwa ni jambo la kawaida na ni ethical

    Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga kupata huduma sahihi na safi kwa wagonjwa wao ni kitu cha kawaida na cha kila siku. Mabishano au mijadala ya namna hiyo kuna wakati mwingine inakuwaga mikali sana (heated). Mijadala hii hufanyika aidha kati ya mtu mmoja mmoja au kivikundi...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

    Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu. Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimepata mgonjwa wa ajabu nyumbani

    Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana. Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Uchunguzi wafanyika kubaini kama kuna mgonjwa wa Ebola

    Sehemu ya eneo la Hospitali ya Colchester ilifungwa kwa muda kutokana na mgonjwa kuonekana ana dalili za awali za ugonjwa huo huku akiwa na historia ya kutembelea Bara la Afrika. Inaelezwa mgonjwa huyo alipata homa kali na akawa anavuja damu katika sehemu za mwili wake. Ikiwa itabainika kweli...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maeneo haya yakiboreshwa, yatapunguza foleni mahospitalini pamoja na umauti kwa wagonjwa

    Nimejaribu kutembelea baadhi ya mahospitali, changamoto kubwa niliyokutana nayo ni msongamano wa wagonjwa, kuwa kwenye foleni ili kupata huduma. Wengine wanakuwa wametoka majumbani tangu asubuhi na wanamaliza siku nzima wanakuwa hawajapata huduma kwa wakati. Kwa mtazamo wangu, hii changamoto...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mgonjwa mwingine wa Ebola afariki Uganda

    Mgonjwa mwingine ambaye ni mtoto mdogo, amefariki kwa Ebola katika hospitali moja katikati mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa taarifa za gazeti la New Vision la nchini humo. Maafisa wa afya wanasema kuwa marehemu alikuwa mmoja wa watu 14 waliolazwa hospitalini wakiwa na dalili kama za Ebola...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikalil: Hakuna mgonjwa wa Ebola nchini

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa mmoja vipimo vya maabara kuthibitisha kuwa anaugua ugonjwa huo katika...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni nani atamtibu mgonjwa? Mganga Mkuu naye analalamika eti madaktari nao wanaumwa

    Mechi ishakuwa ngumu, tayari tumeshafungwa na wachezaji wanafanya makosa ila hawataki tuwazomee wakikosea! Ati tukiwasema hatuna adabu na tayari tushafungwa 2 - 0. Mganga Mkuu analalamika, anasema eti mlundikano wa wagonjwa mawodini ni kwa sababu madokta nao wanaumwa! Kwa hiyo hakuna wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

    Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori. Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kashfa mgonjwa akidai kufukuzwa hospitali kwa kukosa Sh 250,000

    Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani imelalamikiwa kutompatia matibabu ya upasuaji wa henia ‘ngiri’ Bathromeo Mapunda, kisha kumfukuza hospitalini hapo kwa kukosa Sh250,000. Awali, Batholomeo (46) aliambiwa atoe Sh450,000 na baada ya kuhangaika sana na kushindwa kufikisha kiasi hicho...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Congo DR kuchunguza mgonjwa anayehofiwa kufariki kwa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mamlaka za Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeanza uchunguzi ili kubaini sababu za kifo cha mwanamke kutoka mji wa Beni anayedhaniwa kufariki kwa ugonjwa wa Ebola. Mji wa Beni ni moja ya vituo vikuu vya mlipuko wa Ebola ambapo tangu mwaka...
  20. Patandi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Matibabu ya mgonjwa wa akili

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
Back
Top Bottom