Sheria inasemaje kama hospitali ikitoa siri za mgonjwa bila idhini yake au ndugu zake?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,884
Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?

Na international law inasemaje?

Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha tabia hovyo za watu wa hovyo kutoa siri za mgonjwa bila idhini ya mhusika au ndugu zake.
 
Kwa mfano ikitokea nimelazwa Kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka Kudai haki yangu ?...
Mara nyingi Hospitali huwa zinakeep siri ila jambo likifika kwa Mortuary attendant siri hufichuka
 
Yes kuna sheria kuwa mgonjwa na ugonjwa wake ni siri na Doctor wake,ILA nimeangalia mada zako zote zilizopita sijaona ulipoandika kuulizia why aliyekuwa RC wa Dar (mr. makonda)alipotamka hadharani kuhusu kuugua kwa KUB kipindi hicho Mr.Mbowe (eti alikuwa amepata civid 19)hii ni Karma subiri ikuingie.
 
Yes kuna sheria kuwa mgonjwa na ugonjwa wake ni siri na Doctor wake,ILA nimeangalia mada zako zote zilizopita sijaona ulipoandika kuulizia why aliyekuwa RC wa Dar (mr.makonda)alipotamka hadharani kuhusu kuugua kwa KUB kipindi hicho Mr.Mbowe (eti alikuwa amepata civid 19)hii ni Karma subiri ikuingie.
Ya wanasiasa waachie wanasiasa. Hapa tunazungumzia taaluma.
 
Madaktari ni kama Wanasheria, wanafanya kazi kwa kufuata viapo na sheria za kazi zao, miongoni mwa sheria ni kufuata Ettiqutte & Ethics.

Katika viapo hivo kuna kulinda na kuficha taarifa za mteja wake (Siri kati yao wawili), na kuzitoa kwake ni mpaka kwa amri ya mahakama (Kwa ombi maalumu linalopelekwa mahakamani).

Kinyume na hapo, Daktari au Mwanasheria anawajibishwa kisheria na bodi ya maadili ya proffession yake (Ethics Committee).
 
Kwa mfano ikitokea nimelazwa Kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka Kudai haki yangu?

Na international law inasemaje?

Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu.Hatuwezi kuacha tabia hovyo za watu wa hovyo kutoa siri za mgonjwa bila idhini ya mhusika au ndugu zake.
International Law kwa upande wa nchi gani?

Tanzania, Kenya au India?

Kila nchi imesaini mikataba kivyake na hakuna "International Law" moja inayoifunga kila nchi, sheria zinaenda kwa mikataba ya kimataifa.
 
Ya wanasiasa waachie wanasiasa. Hapa tunazungumzia taaluma.
Always try to read to understand sio kuuliza maswali,ukisoma vema nimeanza na hilo la kitaaluma nami nimeingiza politics baada ya mtoa hoja mkuu kuingiza politics alipomalizia hoja yake
 
Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?

Na international law inasemaje?

Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha tabia hovyo za watu wa hovyo kutoa siri za mgonjwa bila idhini ya mhusika au ndugu zake.
Hivi nyerere alipoenda UK hatukupewa taarifa?
 
Kama inatoa taarifa za mgonjwa bila idhini ya mgonjwa au ndugu zake ,ni hospitali ya hovyo na wanaoingoza ni watu wa hovyo kuwahi kutokea.
Kwani mgonjwa gani taarifa zake zimevujishwa na hospitali, Raila Amollo Odinga?
 
Back
Top Bottom