mgonjwa

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

    Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema Kama...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: CoronaVirus ilishasambaa Duniani kabla ya mgonjwa wa 1 kugundulika China Desemba 2019

    Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi vya SARS-CoV-2 viliweza kuenea nje ya China mapema kuliko watu wanavyofikiria. Shirika la Afya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama Daktari wa Binadamu anaumizwa na kifo cha mgonjwa. Je, ni maumivu gani aliyonayo mtekaji na muuaji?

    Mdogo wangu ni retired Dr. Juzi alikuwa anaangalia kumbukumbu ya kifo kwenye tv. Moja ya tangazo aliloliona ni tangazo la mgonjwa aliyefariki miaka 12 baada ya kumfanyia upasuaji, alishtuka na kuumia sana. Mdogo wangu aliumia si kwa sababu nyingine bali anaeleza kuwa wao madaktari ni walinzi wa...
  4. goldcall

    JamiiForums Tanzania Nilishuhudia mgonjwa akijirusha toka ghorofani Hospital ya Kairuki, Dar

    Kichwa chajieleza, nimeshuhudia kwa macho yangu mgonjwa akijirusha ghorofa ya juu sana, pale kairuki hospital, na kufika chini mifupa ikiwa inaonekana. Nilishangaa kuona manesi wanaulizana kumbeba yule mgonjwa kumuweka katika gari ya wagonjwa. Kama dakika tano hivi yule mgonjwa alipoteza...
  5. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Joe Biden mgonjwa wa akili ,,I got to the US Senate 180 years a go''!

    During a speech to the U.S Conference of Mayors on Saturday, Joe Biden claimed he was elected to the Senate “180 years ago. Tazama hapa,
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wazungu' hupambana sana ili Mgonjwa asife, lakini 'Waafrika' hujitahidi mno kufanya 'Maziko' ya Kifahari kwa Marehemu?

    Mzungu akiwa na Mgonjwa wake Hospitalini atahangaika hata kwa 'Gharama' zake zote tu ili 'ayaokoe' Maisha yake 'asife' lakini kwa Mwafrika ( Mswahili ) Yeye akiwa na Mgonjwa Hospitalini wala 'hajali' kivile na pengine hata kutoa 'Huduma' au 'Msaada' anakuwa mgumu ila pale Mgonjwa 'akifa' tu...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Manyara: Wataalamu wa afya mbaroni kwa kuomba rushwa kwa mgonjwa wa tezi dume

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, inamshikilia Daktari na mtaalamu wa dawa za usingizi kwa tuhuma za kudaiwa kupokea rushwa ya shilingi 180,000 kutoka kwa mzee wa miaka 60 aliyekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tezi dume . Mkuu wa TAKUKURU Mkoani...
  8. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli madaktari wanapojua mgonjwa atakufa humficha na kuwaambia ndugu zake tu?

    Je ni Kweli madaktari wanapojua mgonjwa atakufa humficha na kuwaambia ndugu zake tu? Pana tetesi huzisikia kwamba madaktari wanapotambua mgonjwa atafariki, au ana tatizo kubwa sana kuliko mgonjwa mwenyewe anavyoelewa, basi huwaita ndugu wa karibu wa mgonjwa huyo na kuwaambia "prognosis" mbaya...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Papa Benedict XVI aripotiwa kuwa mahututi baada ya kutoka kumsalimu Kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani

    Mkuu wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict XVI, anaripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani mwezi Juni na sasa hali yake ni dhaifu sana. Gazeti la Passauer Neue Presse la nchini Ujerumani limeripoti kwamba Papa Benedict mwenye umri wa miaka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kwao, lawama Tanzania - Mabeberu hawa!

    Mabeberu kazi wanayo. Kila tukipiga chenga wao wanafuata nyayo. Inafikirisha kuwa hata huko Isingiro Uganda mgonjwa wao kwanza aliyepatikana jana, eti naye kapita 'kinyoka nyoka' mpakani akitokea Tanzania kinyume cha utaratibu: ---- The East African region Monday recorded a spike in...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa 1 wa Corona apanga kuishtaki Serikali akidai fidia kwa picha yake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii

    Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya. Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuombwa kitu na ndugu, jamaa au rafiki akiwa mgonjwa bahati mbaya akafa haujamtimizia?

    Nikiwa kwenye mtihani wa taifa kidato cha pili, baba alisafiri kwenda kijijini ambako mama yake ambaye ni bibi yangu alikuwa anaumwa sana.Huyu bibi alikuwa ananipenda sana. Bahati mbaya wakati anaumwa sana na kuzidiwa alikua anahitaji anione kabla hajafa. Kama ujuavyo mabibi wanavyopenda...
  13. Swahili_Patriot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tathmini ya uwepo wa Corona Tanzania

    Ninaishi Sinza, ninatembelea sana sehemu za Kariakoo, Ilala, Mbezi, G/mboto, Mwenge, Morogoro nk. Ndani ya hii miezi mitano, nimeshuhudia kifo kimoja na familia nzima kupelekwa quarantine ila walipona na sasa nipo nao mtaani. Personally hivi nimevishuhudia. Tetesi zinasema kuwa Corona ipo...
  14. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Emergency: Mgonjwa aanze kuongezewa damu au maji?

    Ikitokea hivyo na wewe ni mtoa huduma ya kwanza; ya pili au ya mwisho? Mtu kapungukiwa maji na damu.
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Mikoa zaidi ya 15 haina mgonjwa yeyote wa Corona

    Amesema “Tunamshukuru Rais Magufuli kwa kusimama imara katika kuongoza mapambano dhidi ya #CoronaVirus hadi sasa ambapo Ugonjwa huo unaelekea kuisha nchini Tanzania” Ameeleza kuwa “Katika Mikoa hiyo, upo Mkoa wa Dodoma na nyie ni mashahidi kama mlivyoona katika Kituo chetu cha Afya cha Mkonze...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa Corona haambukizi baada ya siku 11 hata kama atakuwa 'positive'

    Utafiti mpya umeonyesha kuwa mgonjwa wa korona ana uwezekano kubwa wa kutoambukiza watu wengine baada ya siku 11 hata kama akipimwa akaonekana ni positive. Jielimishe zaidi. ====== Covid-19 patients are no longer infectious after 11 days of getting sick even though some may still test...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi Uingereza: Mama atemewa mate na mgonjwa wa Corona, afariki dunia!

    Coronavirus: Victoria ticket worker dies after being spat at Ticket office worker Belly Mujinga died of coronavirus in April A railway ticket office worker has...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuanza kutumia robots ili kupunguza daktari na mgonjwa kukutana katika kuepuka Corona

    Waziri wa Afya wa Rwanda Daniel Ngamije amesema wizara yake imepanga kusambaza roboti kwenye vituo vya kutibu virusi vya Corona na maeneo mengine ya umma. Akiongea kupitia televisheni waziri Ngamije amesema Roboti tano zilizoagizwa kutoka nje ambazo zimepewa majina ya Kinyarwanda zitatumika...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Jinsi ya kutumia Simu yenye Password ili kumsaidia Mgonjwa ambaye simu yake ina Password

    Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
  20. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Hugo Chavez: Mjamaa, muuza unga, mgonjwa wa “totoz”

    Hugo Chavez ni shujaa wa itikadi ya Ujamaa mpaka kifo kilipomchukua Machi 5, 2013. Watu wenye imani isiyoyumba ya falsafa zote za Mrengo wa Kushoto (Left-Wing), kwao Chavez alikuwa jemedari kinara dhidi ya Ubepari. Chavez aliuchukia ubepari na aliijenga Venezuela kuwa taifa la Kijamaa kupitia...
Back
Top Bottom