mgonjwa

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza mgonjwa wa kwanza wa Corona

    Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha kwanza cha Covid19 nchini Uganda. Waziri wa Afya Dkt Ruth Aceng amesema mgonjwa huyo ni mganda mwenye miaka 36 aliyerudi kutoka Dubai 21 Machi, saa nane usiku Mtu huyo alienda Dubai Machi 17, alitumia siku nne huko kwa masuala ya kibiashara. Alikuwa na afya...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kumhudumia mgonjwa asiyejiweza kabisa

    Magonjwa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Yanaweza kuwa muendelezo wa magonjwa ya muda mrefu, ajali kama stroke au kugongwa na Gari. Inaweza kutokea kwa mume/mke, Baba/mama au mtoto wako. Si wengi wenye uwezo wa kulipa mtu mwenye taaluma na ujuzi wa kumtunza mgonjwa. Nimeamua kuandika uzi huu...
  3. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Nilimaliza muda wa kujitenga baada ya kumhudumia mgonjwa wa corona

    Nilipigwa pin ya kutokwenda kazini kwa siku 14. Baba chanja alinipa pesa ya kutumia maana nililalamika mno akaona isiwe shida. Siku kumi na nne zilivyokwisha tu nilipiga simu ban yangu ikaondolewa. Baada ya kufika kibaruani nilikuta Dettol Antibacterial wipes za kumwaga. Kwakweli kama ni...
  4. Tee Bag

    JamiiForums Tanzania Nani anamtumia Mwana FA juu ya ugonjwa wa Corona?

    NANI ANAMTUMIA MWANA FA? Na Thadei Ole Mushi Mwana FA yupo Karantini au yupo nyumbani? Wagonjwa wanaojulikana positive si wanawekwa Karantini chini ya uangalizi? Mbona hajavaa Mask? Wanaomletea Chai, Chakula nk si atawaambukiza wote? Je ni Nani anahusika kuvitangaza hivi visa? Ni wagonjwa...
  5. Maboso

    JamiiForums Tanzania Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

    Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini. Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono. Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  8. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Usiku wangu na mgonjwa wa Corona virus

    Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo mengine night moja kwa wiki inatosha kulipa bills za wiki, chakula na mafuta ya Gari. Nilifika kazini saa...
  9. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Askari kumpiga Mbunge ni sawa na Mgonjwa kumpiga Daktari

    1. Mbunge ni Kiongozi. 2. Mbunge ni mwakilishi wa umma 3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia. 4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable). Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kukosa nauli baada ya kupata rufaa kwenda Muhimbili

    Leo tarehe 15/03/2020 nilimuwakilisha Mh Mbunge wa Mbeya Mjini #JOSEPH #OSMUND #MBILINYI(SUGU) kumjulia hali dada #Rosemery #Mayemba mkazi wa mtaa wa Ilolo kata ya Sinde na kumpatia pesa kwaajili ya nauli na pesa ya kujikimu wakati atakapokua Dares salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako hana...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

    1. Kuonea watu aibu 2.Haangalii watu machoni 3.Akitembea huangalia chini 4.Wasiwasi usio na sababu 5.Hofu 6.Mpweke wa nafsi muda wote 7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole) 8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tambua: Matokeo yanaweza kuonyesha negative, lakini mtu akawa na HIV na kuambukiza zaidi kuliko mgonjwa wa zamani

    Nimeona mara kadhaa watu wakijiona wapo salama kufanya ngono bila kinga kwa sababu tu wamepima na matokeo kuonyesha negative. Hiyo sio sawa, kwa sababu vipimo vya juu kabisa kwa ujumla vita-detect HIV angalau week 4 baada ya maambukizi. Vipimo vitaonyesha matokeo sahihi kwa watu walio wengi...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yathibitisha mgonjwa wa kwanza wa Corona. Dawa za UKIMWI kuanza kutumika kwa wagonjwa wa Corona

    Mgonjwa wa kwanza wa maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona amethibitishwa nchini Ujerumani. Msemaji wa wizara ya afya mjini Munich, amesema jana jioni kwamba mgonjwa huyo ni mwanaume anayetokea eneo la Stanberg, katika jimbo la Bavaria, kiasi kilomita 30 kusini magharibi mwa Munich...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Kenya Mtuku Daniel Arap Moi (95) ni mgonjwa mahututi

    Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mgonjwa hapa kwangu

    Wakuu amani iwe kwenu, Naenda kwenye mada moja kwa Moja, Wiki Moja kabla ya Xmass nikiwa Nimetuna sehemu karibu kabisa na home napiga zangu masanga, mara ghafla kaja dada yangu, akaniambia fulani anakuita (jina kapuni) basi bwana dakika sifuri nikafika nilipoitwa basi ikawa hivi: Ooh Samahani...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtoto afariki dunia baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili

    MTOTO Agnes Kiraba (3), mkazi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kirado wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili. Mtoto huyo alipatwa na mauti katika Hospitali ya Wilaya...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali yamsaka muuguzi aliyebaka mgonjwa

    Wizara ya Afya inafuatilia sakata la muuguzi anayedaiwa kumbaka msichana mgonjwa na kisha kukimbia kusikojulikana. Akizungumza na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Igunga na viongozi wa sekta ya afya mkoa wa Tabora, Naibu katibu mkuu (Tamisemi-Afya), Dk Dorothy Gwajima alisema lengo ni kuona...
  18. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama rais aliyopo madarakani atakuwa mgonjwa na hawezi kusimama kwa kipindi cha pili?

    Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao. Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya mitandaoni

    *1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!* *2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia yako na anatumia vyombo vizuri kuliko familia yako.* *3. Tanzania; Ukiugua Ukaomba michango utibiwe...
  20. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
Back
Top Bottom