Kwani mtoto wa Freeman hujamuona?Binafsi nimewahi ona video ya mgonjwa wa Corona akiwa ICU ambae alikuja kufariki.
Kwakweli ni mateso kwa jinsi mgonjwa anavyo-struggle kupumua mpaka umauti unamkuta.
Mkuu para ya mwisho mie huwa nikifikiria why tunazaliwa tunakufa tena. Pia nikawazaga navyoumia kuhakikisha life linasonga mpaka naogopa kuzaa kuwa hivi na mwanangu atakujaga kusafa kama navyosafaga ama.Binafsi nimewahi ona video ya mgonjwa wa Corona akiwa ICU ambae alikuja kufariki.
Kwakweli ni mateso kwa jinsi mgonjwa anavyo-struggle kupumua mpaka umauti unamkuta.
Kilichoniumiza zaidi ni mgonjwa alie mahututi kuwekea kijiti mdomoni ili asing'ate ulimi. Hakika watu wanaofanya kazi ICU nimewaheshimu.
Ukifikiri sana swala la kifo, unaweza kuona ni bora kutokuzaliwa kabisa.
Tena unakufa kifo cha mateso ambayo sometimes ni mateso makali na ya muda mrefu.Mkuu para ya mwisho mie huwa nikifikiria why tunazaliwa tunakufa tena. Pia nikawazaga navyoumia kuhakikisha life linasonga mpaka naogopa kuzaa kuwa hivi na mwanangu atakujaga kusafa kama navyosafaga ama.
Pia ni nini mana ya kuzaliwa kama baadaye tunakufa lakini.
Magu alifanikiwa kuondoa wasiwasi wa watu juu ya corona maisha yakaendelea tukafanya hadi uchaguzi bila wasiwasi wowote,ila naona sasa naona watu wanarudisha ule wasiwasi na hofu kwa kasi. Ubaya ni kwamba hizi hofu haziendani na kiwango cha tahadhari tunachopaswa tuchukue.
Mkuu misiba huwa siku zote ipo tofauti ni kwamba sasa hivi kwa sababu ya corona basi tumekuwa mara nyingi tunahusisha hivyo vifo na corona wakati mwengine hata inaweza isiwe corona,hata hivyo nilichokuwa nakusudia kufanikiwa kwa Magufuli ni katika kuondoa watu hofu kitu ambacho kwa wakati ule ilikuwa inaelekea pabaya zaidi ya hiyo corona yenyewea.Magu hakufanikiwa chochote ,Kuanzia June -Hadi Oct Dipotivo inashuka inaanza tena Nov hadi may mwishoni....GoT inabidi ikubali chanjo tu hakuna namna.
Huku kwetu ndani ya wiki ,tumepata misiba minne,sehemu niliyokulia misiba kama 6 ,kwenye magroup misiba mi5....Online Facebook ndio usiseme kibao tu zaidi ya 15....Ukija JF kila mtu anajua tumepumzika jana na leo tu.
Hili gonjwa lipo na siku ukibahatika kumuona mgonjwa wa COVID19,utataka siku hiyohiyo uchanjwe chanjo yake.
Kama hujaona ndugu yangu basi omba usione wewe kubali kuchanjwa tu siku ikifika uachane na siasa.
Hili gonjwa lipo na siku ukibahatika kumuona mgonjwa wa COVID19,utataka siku hiyohiyo uchanjwe chanjo yake.
Kama hujaona ndugu yangu basi omba usione wewe kubali kuchanjwa tu siku ikifika uachane na siasa.
Mbona Ventileta tena wakati hali yake alisema inaendelea vizuri?
Hii picha imetoka lini mkuu?Mie Mkuu nashangaa kama wewe, labda hali aliyokuwa nayo wakati anawasili hospitalini ilikuwa mbaya sana.