KCMC Yaruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Uongozi wa Hospitali ya KCMC umetoa taarifa ya kuruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa ambaye atakuwa amelazwa hospitalini ambao watakuwa na vitambulisho maalum

Aidha wagonjwa wanaoenda klini au kuanzamatibabu wametakiwa kwenda peke yao au kuwa na ndugu mmoja iwapo watakuwa wamezidiwa
1624295128113.png
 
View attachment 1825707
Hii ilikuwepo tokea mwaka Jana ila haikuwa official
 
Enzi za magufuli huyo Mkurugenzi wa KCMC angefukuzwa kazi. Ni muhimu kuchukua hatua za kupunguza kusambaa kwa virusi vya Corona.
 
Back
Top Bottom