mgongo

Mgongo is an administrative ward in the Iramba district of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 13,041.

View More On Wikipedia.org
  1. Room 28

    JamiiForums Tanzania Je, najuaje kama nina tatizo la Homa ya Uti wa mgongo (Meningitis)

    Ninaonesha dalili zifutazo 1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto 2. Maumivu ya mgongo 3. Maumivu ya kichwa 4. Kuhisi kama unachanganyikiwa Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
  2. A GIRL OF THE GIRLS

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania bila ulemavu wa neli ya mgongo (neuro tube defects) kwa watoto wanaozaliwa inawezekanika

    Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya Ifakara, Ilionesha kuwa Watoto wanaozaliwa na kasoro ni 5.6 % kubwa kuliko wastani wa Dunia nzima ambao...
  3. Optimists

    JamiiForums Tanzania Maumivu yanayohama mgongoni na kiunoni

    JF doctor habari. Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega. Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye spinal cord, yaani maumivu yanapokezana, yanaweza anza kiunoni then baadae yanaacha yanahamia mgongoni...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa Mgongo kwa Njia ya Matundu wafanyika Dar, Wagonjwa 13 wafanyiwa upasuaji

    Kufuatia Kongamano la Kimataifa la Madaktari Bingwa wa Ubongo na Mgongo na Mishipa ya fahamu (Global Neurosurgery course) imeelezwa limechangia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kuanzisha huduma ya upasuaji wa mishipa ya mgongo kwa njia ya matundu (Endoscopic neurospine...
  6. Candela

    JamiiForums Tanzania Wenza wa watumishi wa Serikali nao walipwe Mafao

    Kama mwenza wa Rais anapata kiinua mgongo hata watumishi wengine wana haki kwa sababu mwenza wa Rais sio mtumishi wa serikali iweje apewe malipo na serikali? Kama hoja ni kumtuliza Rais hata engineer anatulizwa na mkewe au mumewe arudipo nyumbani.
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo waua Wanafunzi 17 nchini Nigeria

    Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha. Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mimba ya tajiri ukijinyoosha mgongo tu inatoka. Lakini ukibeba ya mlalahoi hata uangukiwe na ukuta haitoki

    Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani. Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Una Tatizo La Miguu Kuwaka Moto, Ganzi Na Mgongo Kuuma? Tumia Mkeka Tiba wa Reflexology Mat Kwa Suluhisho La Haraka...

    Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara? Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu? Pia ungependa kujua suluhisho la haraka na rahisi la kuondoa ganzi na maumivu hayo Anza sasa...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Serikali waambieni vijana kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa na kwao kama wananchi

    Tabu laaaa tabu leeeee!!!! Bandiko langu litakuwa fupi lenye lengo na madhumuni ya kuikumbusha serikali faida na umuhimu wa kilimo katika taifa na hivyo kutilia mkazo wa nguvu kwa vijana kuacha kushinda kwenye mitandao na kwenye majumba ya kamari kama mbadala wa ajira kwao. Mwanzo nianze kwa...
  11. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Shirika la Reli (TRC) ndio limegoma kabisa kulipa kiinua mgongo "mkono wa kwa heri" kwa wastaafu wake?

    Habari! Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wenza wa Waalimu na Maaskari Wastaafu wasipewe kiinua mgongo?

    Hapa suala ni wenza na kiinua mgongo, kwanini wenye vyeo vya juu wakistaafu wenza wao huvuna kiinua mgongo tena kinono lakini wenza wa waalimu, maaskari nk wanabaguliwa? Haki iko wapi?
  13. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo...
  14. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo: 1 Maumivu mkali ya mgongo 2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo) 3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha 4 Maumivu ya shingo na mabega 5 Vichomi sehemu ya kiuno Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
  15. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uti wa mgongo

    Je, unafahamu nini kuhusu afya ya uti wa mgongo?
  16. W

    JamiiForums Tanzania Jipatie back stretcher inayosaidia maumivu ya mgongo, pamoja na ukaaji mzuri kwa wanaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu

    Habari , Jipatie back stretcher ambayo husaidia kupunguza maumivu ya mgongo lakini pia kewezesha mwili kuwa katika mkao mzuri pale unapokaa. Hii ni nzuri na muhimu kwa ajilinya watu wanaosumbuliwa na maumivu ya mgongo pamoja na wanaofanya kazi zinazowalazimu kukaa kwa muda mrefu. Bei ni Tsh...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa: Miundombinu ni Uti wa Mgongo Kwenye Uchumi wa Nchi

    ".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..." "...Hivyo tunapoona wakandarasi...
  18. Abuxco

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo ni uti wa Mgongo katika karne ya sasa

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote, na sekta ya kilimo haipo nyuma. Tanzania, kama nchi inayotegemea kilimo kwa kiasi kikubwa katika uchumi wake, inahitaji kuweka mkazo katika kuleta mabadiliko na kuboresha utawala bora na uwajibikaji katika sekta hii...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Michael Jackson aliinama mbele digrii 45 mgongo ukiwa umenyooka kwenye ''Smooth Criminal Lean Dance'' bila msaada

    Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima. Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Msaada ugonjwa wa ugwe mgongo (spinal cord)

    Je, kuna mtu humu au unamjua amewahi kuugua ugonjwa kama huu? Anisaidie ushauri Wana jamiiforum natumai muu wazima wa afya na kwa wale ambao imelega kidogo tuendelee kumuomba mungu atusaidie tupone Ndugu zanguni nimekuwa na maradhi yanayonisumbua kwa muda mrefu sasa ni mwaka wa 6...
Back
Top Bottom