Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

Spinal Health

Member
Sep 19, 2023
12
6
Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

1 Maumivu mkali ya mgongo
2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo)
3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha
4 Maumivu ya shingo na mabega
5 Vichomi sehemu ya kiuno

Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa mgongo, tembelea tovuti zetu kwa msaada zaidi.
 

Attachments

  • e2881c41-75d7-4c4c-80df-186569944a3d.jpeg
    e2881c41-75d7-4c4c-80df-186569944a3d.jpeg
    37.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom