Mimba ya tajiri ukijinyoosha mgongo tu inatoka. Lakini ukibeba ya mlalahoi hata uangukiwe na ukuta haitoki

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani.

Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka hata kwa kujinyoosha maungo tu.

Mimba ambazo wadada wanakuwa wamebebeshwa na walalahoi huwa hazisumbui na kamwe hazitoki hata itokee ajali ya kuangukiwa na ukuta.

Wanaume maskini huwa wana nini lakini?
 
Mimba za maskini zinabebwa wadada wakiwa wadogo hawajajanjaruka.. mimba za matajiri wanazibeba wadada wakiwa wakubwa wakubwa washakuwa wajanja.

Mimba kwenye tumbo la early 20s kuharibika ni ngumu sana.. tofauti na mimba ya late 20s ama 30s.. kidogo tu imeharibika
 
Hata kwa wanawake. Unaweza kuwa na mwanamke mtoto wa ushuani unampenda kweli unatamani akuzalie muendeleze ukoo wenye fedha, unafanya nae kila siku mimba haishiki. Mguse mfanya kazi wako wa ndani sasa hata bahati mbaya tu, mapacha hawa hapa.
 
Sababu kuu ni age factor. House girl anakuwa na umri mdogo. Kizazi kiko karibu. Binti yoyote under 20s. Ukimwaga ndani tu mimba anashika fasta fasta
 
Back
Top Bottom