Spinal Health
Member
- Sep 19, 2023
- 12
- 6
Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo.
1- Kupishana kwa pingili (Subluxation)
2- Kuingiliana kwa mishipa ya Fahamu (Nerve system interference)
Kutokana na vitu hivyo viwili, unaweza kupata shida yoyote kwenye mwili wako ikiwemo maumivu makali ya mgongo (Lower back pain) Maumvu makali ya kiuno/Nyonga, Maumivu ya shingo, Maumivu ya mabega na wakati mwingine yanaenda hadi kwenye maungio ya miguu. (Knees)
Sababu nyingine ni ajali ambazo tumepata muda mrefu uliopita, Au kuanguka kwa bahati mbaya, Au msongo wa mawazo kupitiliza (Stress) husababisha magonjwa ya uti mgongo.
Kama una maswali, majibu, hoja kuhusu Ekimu ya uti wa mgongo karibu tuambizane!