Asilimia kubwa ya wanaume hukaa kwenye viti kwa kutumia mgongo

marehem x

JF-Expert Member
Dec 28, 2022
515
786
Ni utafiti binafsi.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Vijana wengi wataathirika na tabia ya ukaaji inayotokana na matatizo ya kisaikolojia.

Kutojiamini na msongo wa mawazo kunawaathiri vijana wengi hivyo utawaona wanavyotembea na zaidi ukaaji wao kwenye viti, sofa, kwenye magari, madaladala na majumbani.

Utawaona wanavyotembea, ukaaji hutumia mgongo sehemu ya chini ya mgongo. Inaonyesha wazi kuwa kujikunja, kupindisha mgongo eneo karibu na kiuno, mikono wakati wa ukaaji kwenye kiti, ni ishu ya kisaikolojia.

Utafiti.

Screenshot_20230327-065643.jpg
 
Hembu tupe picha za mikao inayotakiwa.
 
Back
Top Bottom