mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kidigitali wa usimamizi wa taarifa za kanisa

    Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mfumo rasmi wa usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo. Sasa nimetoa toleo la kwanza ambapo kwa kutumia hilo utaweza kufanya yafuatayo 1. Kusimamia taarifa za washirika/waumini 2...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar waache majaribio yasiyo na tija kwenye mfumo wa elimu

    Binafsi nilishangaa kujua mfumo wa zanzibar ni kumaliza shule ya msingi darasa la sita kisha mtu anaenda form 1. Sijui wanakimbilia wapi? Au kwa vile shule zao kuna kina mama na kina baba wanalea japo wao ni watoto? Mfumo huo pia umekua na matokeo duni ya kidato cha nne. Kila mwaka shule za...
  4. Mtangoo

    JamiiForums Tanzania Unatumia mfumo gani kuendesha biashara yako?

    Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo. KWA WATUMIAJI WA MIFUMO 1. Umetumia mfumo gani 2021? 2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021? 3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Unafanya Majaribio Ya Mfumo Wa Kutuma Na Kupokea Crypto

    Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1. WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
  6. scatter

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu...
  7. Mwalimu-Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mfumo unaotoa tathmini ya Tija ya tution inayofanywa na walimu Nyumbani

    Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution. Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
  8. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Spotify imefuta mfumo wa suffle play katika Albams

    Mpangilio wa nyimbo katika Album ya msanii ni ubunifu ambao unapaswa kuonekana. Wasanii wengi wanapangilia nyimbo katika Album zao kwa mpangilio maalum; na wanapendelea kuona wasikilizaji wakisikiliza Album katika mpangilio ambao msanii alikusudia. Adele ametoa Album yake ya “30” ambayo...
  10. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kipagani katika mfumo wetu wa maisha 1 ( majira ya mwaka)

    MIEZI YETU NDANI YA MWAKA NA MILA ZA WAPAGANI Naam Asilimia kubwa ya wengi wetu tunaamini katika Mungu hilo hata mimi nlifundishwa tangu wakati ule nipo madrasa kule jang'ombe zanzibar. Na kama tujuavyo Historia tangu kipindi cha Eve na Adam mpaka sasa ni vita kati ya shetani na watoto wa...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa

    Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa na akaunti ambazo Algorithm itahisi ni bot au Spam Account. Mfumo mpya utamhitaji mtumiaji mpya kujirekodi video fupi ya Selfie, ambayo inatumwa na kukaguliwa kama anayefungua akaunti ni mtu na sio robot. Instagram itaanza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mfumo halali wakupiga kura huu hapa

    Kila mtaa uwajibike kusimamia upigaji kura na kuhesabu. Fomu za matokeo zijazwe hapohapo. Viongozi wadini wawe maafisa wa usimamizi. Wananchi wawe guru kwenda kituo cha kata kusimamia matokeo toka kwenye vitongoji. Polisi wasikae vituoni Mgambo/Sungusungu ndio waangalie usalama vituoni. Kila...
  13. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Mfumo kamili wa Mahusiano na Mapenzi kwa ujumla

    Tumeelewana au niongeze Nyama?
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Vodacom rekebisheni Mfumo wenu wa Huduma kwa Mteja

    Yaani mpaka uongee na mhudumu wa huduma kwa mteja ni baada ya siku 2 hizo masaa hapo unahangaika na bots tu aisee
  15. F

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tunahitaji ushindi Taifa leo, kocha aanze na mfumo upi?

    Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi? 1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza kupitia kwa Msuva kutumia zile mbio zake. 2. Mfumo wa 3-5-2 Huu ni kujilinda kama hamna mpira, zile...
  16. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa jua ulivyo jiumba hapo zamani za kale

    FAHAMU SAYARI ZETU 8 ZILIVYOJIUNDA 🤔 Sayari zimeanza kujiunda mara baada tu ya mfumo wetu wa Jua ulivyomaliza kuundika kutokana na mawingu mazito yenye gesi na mavumbi mavumbi yatokayo huko interstellar space Mawingu mazito yalipasuka kutokana na mvumo au twaweza kusema shockwave iliyotokea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa utoaji matokeo ya mitihani ubadilike, huu wa sasa unashawishi udanganyifu

    Hili ni suala la kisera linalohitaji utashi wa kisiasa. Kwa matokeo ya darasa la saba kwa mfano, kinachotakiwa ni alama na grade kwa kila mtoto maana ndicho kigezo kinachotakiwa ili mtoto aweze kuendelea na masomo au la na ndicho kipimo cha ufaulu wa mtoto. Kuhusu shule kupangwa ipi ya kwanza...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Haiwezekani kuandaa mfumo kuhama wa tumishi wakubadilishana vituo wakafanya online transfer

    Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia Mfano:mfumo unakuwa na transfer request hivyo mtumishi anaye taka kuhama ana request wilaya au kata...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Beidou kutanua mbawa zake hadi Afrika na kulipaisha bara hilo juu zaidi kiteknolojia

    NA PILI MWINYI Kwa miongo kadhaa sasa ushirikiano kati ya China na Afrika umeshuhudiwa ukileta mabadiliko makubwa kwenye miundombinu, elimu, huduma za afya na hata teknolojia ya kisasa. Ushirikiano huu umekwea juu na hata sasa kufika kwenye matumizi ya Mfumo wa Satelaiti ya Uongozaji ya...
  20. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Suala la wamachinga; Nchi imekomaa au upinzani umepata pigo kwenye mfumo wake wa uzazi?

    Kwa kawaida tulitarajia... 1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo. 2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa. UHALISIA 1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo. 2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao. TATIZO NI...
Back
Top Bottom