Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter One hadi Chapter Three ya Research Proposal yake hawezi na hajajua huku akiwa hana hata Rekodi ya Uongozi kutokea Shuleni kwa mshangao kabisa na chenyewe Kimejichukulia Fomu ya Kugombea huo Uspika.

Na wa mwisho Wana CCM wengi wanamjua ni 'Mdangaji' mkubwa na miaka kadhaa alinusurika Kufamaniwa na Mume wa Mtu Hotelini Dodoma, Bingwa wa Madeni katika VICOBA vyake Tabata na Tegeta, Elimu yake ni ya Manati ( ya Kuunga unga ) tupu na ni 'very poor in dialogue and debate' na cha Kunisikitisha nae kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna uwezekano Wajumbe wa CCM wasipokuwa makini Wakatuchagulia Mwendawazimu, Mpuuzi na Danga kuwa Spika na Kumrithi Spika Job Ndugai na ndiyo maana kwa Umakini na Uhakika wangu GENTAMYCINE jana hapa JamiiForums nimesema najua watajitokeza Wengi Kugombea na wapo wengine ninaowaheshimu .

Lakini ( hata hivyo ) Kwangu Mimi kwa Vigezo vingi na Sababu zangu nyingi namuona aliyekuwa Naibu Spika Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ndiye anafaa hivyo apitishwe na wana CCM bila Chuki au Mizengwe dhidi yake na Inshallah / Amen sina wasiwasi ni Yeye ( Dk. Tulia Ackson ) atachaguliwa na kuwa Spika wa Bunge la JMT.
 
Huyo Naibu Spika unaempigia debe analipi la maana?

Watu mnaotetea CCM ndio mnatuponza watanzania na ni bora muache kulalamika.
Hapigiwi debe....

Dr.Tulia anatosha kwa mengi.....

Amejifunza vya kutosha.....
Elimu yake na weledi wa sheria alionao....
Uzalendo wake kwa nchi na haswa kwa itikadi zetu bora za chama bora CCM.......

Kikubwa tu APUNGUZE JAZBA kwa baadhi ya hoja zenye "kukereketa"
 
Mimi Chaguo langu ni Assiah Msangi. Nipo Norway njooni mnipige
 
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter One hadi Chapter Three ya Research Proposal yake hawezi na hajajua huku akiwa hana hata Rekodi ya Uongozi kutokea Shuleni kwa mshangao kabisa na chenyewe Kimejichukulia Fomu ya Kugombea huo Uspika.

Na wa mwisho Wana CCM wengi wanamjua ni 'Mdangaji' mkubwa na miaka kadhaa alinusurika Kufamaniwa na Mume wa Mtu Hotelini Dodoma, Bingwa wa Madeni katika VICOBA vyake Tabata na Tegeta, Elimu yake ni ya Manati ( ya Kuunga unga ) tupu na ni 'very poor in dialogue and debate' na cha Kunisikitisha nae kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna uwezekano Wajumbe wa CCM wasipokuwa makini Wakatuchagulia Mwendawazimu, Mpuuzi na Danga kuwa Spika na Kumrithi Spika Job Ndugai na ndiyo maana kwa Umakini na Uhakika wangu GENTAMYCINE jana hapa JamiiForums nimesema najua watajitokeza Wengi Kugombea na wapo wengine ninaowaheshimu .

Lakini ( hata hivyo ) Kwangu Mimi kwa Vigezo vingi na Sababu zangu nyingi namuona aliyekuwa Naibu Spika Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ndiye anafaa hivyo apitishwe na wana CCM bila Chuki au Mizengwe dhidi yake na Inshallah / Amen sina wasiwasi ni Yeye ( Dk. Tulia Ackson ) atachaguliwa na kuwa Spika wa Bunge la JMT.
Kwan hua tunaangalia elimu,utashi, na uzoef bas 😂😂 lolote laweza tokea nchi hii mkuu 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'SapYuu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter One hadi Chapter Three ya Research Proposal yake hawezi na hajajua huku akiwa hana hata Rekodi ya Uongozi kutokea Shuleni kwa mshangao kabisa na chenyewe Kimejichukulia Fomu ya Kugombea huo Uspika.

Na wa mwisho Wana CCM wengi wanamjua ni 'Mdangaji' mkubwa na miaka kadhaa alinusurika Kufamaniwa na Mume wa Mtu Hotelini Dodoma, Bingwa wa Madeni katika VICOBA vyake Tabata na Tegeta, Elimu yake ni ya Manati ( ya Kuunga unga ) tupu na ni 'very poor in dialogue and debate' na cha Kunisikitisha nae kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna uwezekano Wajumbe wa CCM wasipokuwa makini Wakatuchagulia Mwendawazimu, Mpuuzi na Danga kuwa Spika na Kumrithi Spika Job Ndugai na ndiyo maana kwa Umakini na Uhakika wangu GENTAMYCINE jana hapa JamiiForums nimesema najua watajitokeza Wengi Kugombea na wapo wengine ninaowaheshimu .

Lakini ( hata hivyo ) Kwangu Mimi kwa Vigezo vingi na Sababu zangu nyingi namuona aliyekuwa Naibu Spika Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ndiye anafaa hivyo apitishwe na wana CCM bila Chuki au Mizengwe dhidi yake na Inshallah / Amen sina wasiwasi ni Yeye ( Dk. Tulia Ackson ) atachaguliwa na kuwa Spika wa Bunge la JMT.
Unataka aliye tifauti na Jobo, au zaidi ya job🤔.
 
Spika atachaguliwa miongoni mwa wBunge au mtu mwenye sifa ya kuwa mbunge.

Sifa mojawapo ya kuwa mbunge ujue kusoma na kuandika. 🐺🐺
 
Back
Top Bottom