mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

    Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu. Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter. Tukiendelea na huu mfumo, basi mateso haya tinayopitia yatakuwa mara 10 zaidi ya hapa miaka ijayo na ndio...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa L-SAR kwa ajili ya kufuatilia majanga ya asili

    Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan. Pamoja na kazi nyingine, satelaiti hiyo itatumiwa hasa kufuatilia mazingira ya kijiolojia...
  3. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Gharama ya Kufunga Mfumo wa VAR, Tanzania bado sana hatuwezi

    VAR SYSTEM 1. Gharama zake ni kiasi gani? Kusimika mtambo wa VAR inagharimu £4.6M sawa na 14.5B Tsh. 2. Inaendeshwa chini ya chombo gani? VAR Huendeshwa chini ya IFAB International Football Association Board) (Bodi ya kimataifa ya shirikisho la soka) 3. Mtu Yeyote anaweza Oparate? *Hapana...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuwa katikati, ni aidha ufuate mfumo jike au Mfumo Dume

    Kwema Wakuu! Hapa Duniani ipo mifumo miwili tuu inayoongoza dunia. Hakuna mfumo wa kati. Ni aidha uchague Mfumo dume au uwe WA mfumo Dume. Ni fahari Kwa mwanamke kuchagua mfumo wowote, aidha achague mfumo jike au dume kwake vyote ni Faida. Tena akichagua mfumo dume ndio hupewa heshima na...
  6. JABALI LA KARNE

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kwa mfumo huu uliopo nchini chukueni maamuzi magumu

    Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k. Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, What happened.?

    Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2 Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka kuliweka wazi Je ni nini kimetokea.? How did the breach happen .? Pesa zetu ziko salama.? W Kwa...
  8. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa tozo/kodi unaweza kuboreshwa

    Naamini kabisa kuwa, Serikali inania njema sana ya kukusanya tozo/mapato ambayo ni muhuimu sana kwa maendeleo ya Nchi Hata hivyo napendekeza kuwe kunatolewa mashindano ya kupendekeza vyanzo vipya vya mapato kila mwaka tofauti kabisa na tulivyo navyo. Ikitokea mtu akapendekeza chanzo na...
  9. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Rais anapoonesha mfumo ndio unaotoa fedha na si Rais

    Hapa kwetu kumezoeleka viongozi wa juu kutamba na kutoa matamko ya kumsifu Rais kwa kutoa fedha za maendeleo. Zambia mambo ni tofauti kabisa.
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uwekaji wa mfumo wa anwani za makazi kufanyika kwa muda wa miezi mitano badala ya miaka mitano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali itatekeleza uwekaji wa mfumo wa anwani za makazi kwa muda wa miezi mitano badala ya miaka mitano kama ilivyokuwa itekelezwe hapo mwanzo. Waziri Nape amesema zoezi hilo linafanyika kutokana na misingi mitatu...
  11. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Kupima wanafunzi wa kidato cha pili kwa kutumia division ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mafundi hapa mfumo wa maji safi na machafu umepitia wapi?

  13. M

    JamiiForums Tanzania Buriani Mzee Nalaila Lazaro Kiula; Mwadilifu aliyeponzwa na Mfumo kifisadi

    Usiku wa kuamkia Jana amepumzika Mzee Nalaila Lazaro Kiula. Alipata kuwa Mbunge wa Zamani wa Iramba, na Waziri wa zamani wa Ujenzi na Mawasiliano, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya. Mzee Kiula ni mojawapo ya Wahanga wa siasa za fitna, majungu na mitandao ndani ya CCM. Akiwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

    HELLO GUYS! Baada ya kusubiri muda mrefu kidogo tukisubiri tuweze kuongezeka napenda kuwakumbusha kuwa hapa ni sehemu salama zaidi na mafunzo yote yatatolewa bure bila malipo yoyote na tutajitahidi kila siku kuleta angalau somo moja ili kufikia malengo ya kila mmoja kuweza kuelewa nini maana ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

    Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika. Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mihimili ya Kenya wanaiga nchi za ulimwengu wa Kwanza sisi tunaiga mfumo wa Burundi. Jaji Mkuu kamkaripia Rais uteuzi wa Majaji

    Jaji Mkuu wa Kenya amemtaka Mhe. Rais wa Kenya kuheshimu sheria na kite majaji sita wanaohitajika kikatiba. Aidha amesisitiza kuteuliwa kwa majaji wawili walimpinga wakati wa BBI. Hii ni mwendelezo wa uwajibikaji wa Jaji Mkuu kama mkuu wa mihimili. Jaji Mkuu aliyemaliza muda wake itakumbukwa...
  17. nyboma

    JamiiForums Tanzania Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia amewanyima hoja wapinzani wake ndio maana wamekimbilia kwenye mfumo dume"Wapuuzeni"

  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaziondoa Ethiopia, Mali na Guinea kwenye Mfumo wa AGOA

    Serikali ya Marekani imeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais Joe Biden la kuziondowa Ethiopia, Mali na Guinea kutoka makubaliano ya kibiashara kati ya taifa hilo na Afrika kutokana na uvunjwaji wa haki za binaadamu.M Marekanihivi leo imeziondosha Ethiopia, Mali na Guinea kutoka kwenye programu...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

    Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu. Anasema watu wanazunguka...
Back
Top Bottom