mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza taa za kuongozea magari ziunganishwe na mifumo ya ‘Google maps’

    Huwa inashangaza sana katika zama hizi za kukua mno kwa teknolojia kukuta taa za barabarani zinaita upande usio na magari kabisa hata dakika 2, wakati huo huo upande mwingine wenye msururu mrefu wa magari ukiwa umezuiwa kwa taa nyekundu, huwa nacheka sana. Ninachojiuliza, kama simu yangu ya...
  2. MPEKENYELA

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu huu mfumo wa HESLB wa kuonesha madeni?

    Samahan wadau, Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa. Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na...
  3. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Kuinua Elimu nchini, mfumo wa kuajiri kwa kuangalia Vyeti ufutwe

    Moja ya sababu ya elimu kuwa Duni na pia kukutana na Graduate au Masters ambaye uwezo wao ni mdogo sana kulinganisha hata na Darasa la saba au mtu mwenye elimu ya certficate ni kwa sababu ya Vyeti kuabudiwa. Vyuoni watu huenda kutafuta vyeti na si kutafuta maarifa, ndo maana kule kuna njia...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kama Dangote kafunga mitungi ya gesi kwenye malori yake, Mimi ni nani hata nisibadili mfumo wa nishati ya gari yangu?

    Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha. Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550. Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo. Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo...
  5. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  6. Katung'a

    JamiiForums Tanzania eMALALAMIKO: Mfumo huu wa kuwasilisha malalamiko serikalini utatekeleza majukumu kusudiwa?

    Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki. Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi? Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na...
  7. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Usajili timu za bongo ni pata potea. Hakuna mfumo maalumu unaotumika

    Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike kwenye hii angle. Ni bongo pekee ambapo usajili wa mchezaji hauzingatii CV yake bali upepo alioamka...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania TCU mfumo wa CAS haukua mzuri, mfumo wa sasa ndio mzuri

    TCU mfumo CAS ulifeli kwa kuwachagulia wanafunzi fani wasizozitaka na vyuo wasivyovitaka. Yaan mtu anaenda kusoma chuo kikuu fani asiyoitaka wala hakuiomba, na hajui inahusiana na nini. Chuo kikuu sio sekondari kwamba umpangie mtu chuo na kozi ya kusoma. Hata Ulaya hawafanyi hivyo. Waacheni...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania TCU rudisheni mfumo wa kudahili wanafunzi vyuoni kwa njia ya mtandao (CAS)

    TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa kwa miongo 3, hili la mfumo wa uajiri kisiasa limezidi

    Nazungumzia mfumo Wetu wa uajiri na siasa zetu za vyama namna lilivyoathiri. Ukweli ni kwamba tumeendekeza siasa ambapo chama kilichoshinda Iwe Kwa haki au mizengwe ndio kinaunda serikali na Kuwa na ushawishi kwenye Ajira zote nyeti. Hatimae kwa takriban miongo mitatu sasa athari iko wazi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi aanzisha mfumo wa kielekroniki unaoitwa "Sema na Waziri" kupoke malalamiko ya watumishi na wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi akose stahili yake au mwananchi kukosa huduma bora. Mchengerwa amesema hayo Dodoma wakati akifungua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, mfumo wa TRA wa utoaji TIN Namba unahujumiwa

    Mhe. Waziri Mkuu Hongera kwa kazi nzuri, sisi Watanzania tunakupa Hongera kwa kazi nzuri unazoendelea kuchapa. Hongera kunyoosha TANESCO, Bandari, EPZA nk. Kwa sasa mulika TRA mitandao yao mingi ya utoaji Control namba na TIN namba haifanyikazi kama zamani. Tangu Jumatatu ya wiki hii TIN namba...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe mfumo wa "internship" kwa Walimu wahitimu kuliko kujitolea

    Habari JF, Hakuna kitu kinaumiza kama msomi na mwalimu aliyesomea na kufuzu mafunzo ya ualimu na kwenda kufanya kazi katika shule za serkali kwa kujitolea bure Hakika hii haikubaliki, ni unyonyaji wa kiwango kisichoelezeka. Mtu kufanya kazi bure ndani ya nchi hii ni kinyume na haki za binadamu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi : Ni furaha yangu sasa kuna Mfumo wa Kisheria kiganjani

    Kwa mara ya kwanza sasa waTanzania wanaweza kujifunza wao wenyewe kupitia mfumo wa kisheria wa kidijitali unaopatikana simu janja za kiganjani. Hatua hii imefikiwa kupitia msaada mkubwa wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Haki yaani LSF About LSF – Legal Services Facility kupitia app inayojulikana...
  15. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Tanzania itabidi tufikirie ku adopt mfumo wa Technocracy ili mambo yaende.

    Huwa napenda kukaa chini na kuangalia namna wenzetu duniani wanafanya nini, ambacho na sisi tunaweza kuiga kwa manufaa ya taifa letu. Kuanzia February mwaka huu, nchi ya Italia imekuwa ikiongozwa na waziri mkuu mpya, anayeitwa Mario Draghi. Kwa kifupi, huyu ni nguli wa uchumi wa bara la ulaya...
  16. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Covid - mfumo wetu wa kupima Korona hauwafai watalii...

    Kwa Muda sasa nimekuwa nafuatilia mfumo wetu wa kupima covid (PCR) nikaona unawafaa watu ambao hawana haraka au hawana tatizo la muda kitu ambacho sio rafiki kabisa kwa utalii 1. Tulitangaziwa kuwa majibu kwa Dar/ Arusha mikoa yenye Lab yatatoka Ndani ya saa 24 kitu ambacho, ukiuliza lab...
  17. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania

    Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi. Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mali za CCM zipigwe mnada; nyingi ziliibwa kwenye mfumo wa Chama kimoja TANU na ASP

    Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni. Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipiga Google faini ya Tsh bilioni 621 kwa kujipendelea katika mfumo wa matangazo ya Kidigitali

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa. Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
Back
Top Bottom