Tuanze kwa kusema nini maana ya mfumo wa elimu.
Mfumo rasmi wa Elimu kwa Tanzania, ni njia kuu ya kutoa huduma za masomo ya elimu kuanzia elimu ya awali hadi Chuo Kikuu. Mfumo wa elimu kwa Tanzania upo katika form ya 2-7-4-6-3+
✓Miaka 2 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi wenye...
Mfumo wa forced account ni mfumo wa taasisi kufanya kazi bila kufuata sheria ya manunuzi ikiwemo standard za utoaji tenda. Kupitia forced mkurugenzi, madiwani na viongozi wengine watafungua makampuni ya ujenzi na kupewa tenda bila proper vetting. Lakini pia mfumo huu kwenye halmashauri...
Katika hatua za mwanzo kabisa za Maisha ya mwanadamu hakukuwepo na kitu kinaitwa Pesa. Njia pekee ya kununua na kuuza ilikuwa ni kupitia mabadilishano. Unahitaji ngombe wangu unanipa gunia kadhaa za mahindi. Tumemalizana, kitaalamu iliitwa Barter Trade).
Mfumo huu ulikuwa na mapungufu mengi...
Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa.
“Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
Mfumo mpya wa Apple utakagua picha zenye Maudhui ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto kwenye Simu za watumiaji.
Zaidi ya Watu na Mashirika 5,000 wamesaini barua ya wazi wakipinga Teknolojia hiyo ambayo wanasema inaweza kutumika kuingilia faragha za Watu.
Hata hivyo, Apple imetetea Teknolojia yake...
UTANGULIZI
Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania wanajiuliza bila kupata majibu ya maswali haya:
Je suala ni wasomi wenyewe
je ni ukosefu wa stadi...
Elimu tuliyopata mashuleni imeshindwa kutusaidia kutatua changamoto zetu. Mfumo wetu wa elimu umetufanya tuwe ndio mzee Kwa Kila kitu. Na kutokana elimu hii tumeshindwa kujitetea hata pale tunapo ona tunaonewa na watawala.
Jaribu kutazama mambo yanavyokwenda katika nnchi yetu serekali...
CCM ilishachokwa kitambo, Mfumo wa chama kimoja uliathiri vipawa na mawazo mbadala, Mwalimu na wenzake waliunga mkono vyama vingi miaka ya 1992 ili kuruhusu mbadala na kuifungua Tanzania. Miaka 29 baadae tunarudi tena nyuma.
Haya ndio madhara ya kukosa mwelekeo.
Kutoka vyama vingi vya...
UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
Karibia wiki nataka nimtumie mdogo wangu maombi ya chuo cha afya kupitia nacte lakini system haifunguki. Kila nikiingia inaandika error.
Tatizo nini kwa wenye ufahamu.
TCRA YAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA UTOAJI WA LESENI MTANDAONI.
Leo 31 Julai,2021.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya uzinduzi wa Mfumo ulioboreshwa wa Utoaji wa Leseni kwa njia ya Mtandao. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt...
Nawasalimu wakuu.
Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni.
Hii...
TATIZO SI MFUMO WA ELIMU
Kumekuwapo na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu.Tuliowengi tunasema mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kwamba ndiyo maana vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini hawawezi kujiajiri. Kelele ziko kila kona ya nchi.
Malalamishi haya hayatoki kwa wananchi wa kawaida tu...
Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani.
Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia?
Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua!
Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
Sababu kubwa ya magonjwa Kama UTI, SKIN COMPLICATIONS kutoisha katika maisha yetu ya kila siku
NB: Kudhani chooni ni mahali pachafu/kinyaa na mpaka kufikia point kwenda na ndala au viatu ni ugonjwa wa a kili.
MIMI SINA UJUZI WA UFUNDI
Nimejifunza mfumo wa Choo katika makazi yetu hata hasa...
MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI
Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu.
Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
Karibu katika makala hii:
UHUSISHWAJI WA AFYA YA AKILI KATIKA UTOAJI A HUDUMA YA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI.
Uzingatiwaji wa afya ya akili katika jamii ya Tanzania uko katika kiwango kidogo, Athari zake huathiri walio na kasoro ya kiakili na wasio nazo, hivyo watoto na watu wazima wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.