Hakuna kuwa katikati, ni aidha ufuate mfumo jike au Mfumo Dume

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
Kwema Wakuu!

Hapa Duniani ipo mifumo miwili tuu inayoongoza dunia. Hakuna mfumo wa kati.
Ni aidha uchague Mfumo dume au uwe WA mfumo Dume.

Ni fahari Kwa mwanamke kuchagua mfumo wowote, aidha achague mfumo jike au dume kwake vyote ni Faida.
Tena akichagua mfumo dume ndio hupewa heshima na utukufu zaidi.

Mathalani, Mfume dume Kwa binadamu unaongozwa na kanuni ya kutoa na kuhudumia Familia na jamii.
Pia unataka mwanaume ndiye awe mlinzi WA familia, jamii na Dunia Kwa ujumla.

Mwanamke anapobeba jukumu la kutoa huduma(kuhudumia) familia yake, na jamii ni utukufu kwake,ni sifa ambayo kwake ni faida.

Mwanamke kutoa pesa za matumizi NYUMBANI kabeba mfumo dume, kwamba Yeye ndiye Baba WA Nyumba, na ndiye mwenye mamlaka Kwa maana mamlaka siku zote yapo kwenye mfumo dume pekee.

Mwanamke akikulinda au kuhakikisha usalama wako na kuhakikisha hakuna wa kukuumiza, hiyo kwake ni sifa njema, sio jukumu lake.

Mfumo jike unamtambua mwanamke kama Mlezi WA watoto mbali na kuwazaa. Mfumo huu umebebwa na karibu viumbe vyote Duniani isipokuwa baadhi ya Ndege warukao.

Mwanaume kujipa mambo ya Mfumo jike Kama kumlea mtoto Kwa kuwa karibu yake Sana sio sifa kwake isipokuwa ni kujidhalilisha, malezi Kwa Asilimia 90% ni jukumu la mwanamke, ni mfumo jike.
Na hapa nazungumzia malezi Yale ya ukaribu wa Baba na mtoto Kama kumuozesha, kumfulia nguo au kumlisha na kumpikia chakula mtoto hizo ni pigo za mfumo jike.

Hakuna mwanaume atakayesifiwa ikiwa atafanya mambo ya Mfumo jike.

Mfumo jike unamtambua mwanamke kama kiumbe pekee kinachostahili kupendeza, kurembwa na kung'arishwa.
Mfumo dume haufuati kanuni hiyo.

Hakunaga mwanaume aliyefuata mfumo jike wa kujiremba, kujing'arisha na kupendeza akasifiwa au akapewa utukufu. Kwa mwanaume ni aibu ni Fedheha Kwa mwanaume Kuambiwa yeye ni mzuri.

Na hakuna mwanamke mwenye akili timamu ambaye atakubali nafasi yake ichukuliwe na Mwanaume.
Mwanamke mwenye akili timamu yaani afuataye mifumo dume atakubali umshinde yote lakini sio Urembo, uzuri, kudeka, kupendeza, kusifiwa sifiwa, ulaini laini, Kupenda attention na kuwa slow learner.

Mwanamke hujiona Bora akiitwa JIKEDUME
Lakini mwanaume hujiona dhalili kuitwa DUMEJIKE.

Kikanuni ni halali na haki kabisa mwanamke kumdharau mwanaume afuataye mfumo jike.

Ni halali mwanamke kumdharau mwanaume au mume wake ikiwa atamuhudumia, yaani Mkeo akikuhudumia ni halali yake kukudharau kwani hauna tofauti na yeye, nyote mnakuwa mnaongozwa na mfumo jike.

Hakuna mwanamke anayemdharau mwanaume masikini, isipokuwa wanawake wanadharau wanaume wanaomfuata mifumo jike.

Yaani wewe uwe masikini alafu umuoe yeye akiwa kakuzidi kimapato au Akili. Hapo hata ufanye nini ukweli ni kuwa atakudharau Kwa sababu yeye ndiye atakuwa Mtawala(atatumia mfumo dume) Kwa sababu mfumo dume ndio unaoongoza yaani wenye mamlaka ya kuongoza.

Sasa ni lazima uchague aidha uwe Jike katika umbile la Uanaume udhalilike, au uwe dume kikwelikweli.

Kwa mwanamke yote kwake ni faida, akijifanya mwanamke ni faida, na akijifanya mwanaume ni faida zaidi na atapata sababu ya kudharau wanaume wasiokamilika.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Fact mkuu sikupingi, juzi nimenunuliwa nguo na manzi mmoja nimejiskia vibaya eti Valentine, tutafute pesa wakuuu.
 
Hili bandiko na lirate 9/10

Ila kuu la mwaka aiseee NI lile jiwe ulilorusha
USIMUONEE HURUMA MWANAMKE....HIO ILIKUWA KUBWA KULIKO
 
BANDIKO MOJA LA KIBABE HIVI
 
Back
Top Bottom