Karibu katika makala hii:
UHUSISHWAJI WA AFYA YA AKILI KATIKA UTOAJI A HUDUMA YA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI.
Uzingatiwaji wa afya ya akili katika jamii ya Tanzania uko katika kiwango kidogo, Athari zake huathiri walio na kasoro ya kiakili na wasio nazo, hivyo watoto na watu wazima wako...
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
Ili uwe na mafanikio kwenye eneo lolote unahitaji kitu KINAITWA experience (uzoefu)
Watu wanafel biashara,wanafukuzwa au kutothaminiwa kazin kwasababu ya uzoefu..ukifuatilia na kuwachunguza wanaokuzidi iwe kwenye BIASHARA yeyote au kazi ofisini utagundua sio kitukingine ni uzoefu tu...
Kwahyo...
Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali.
Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
Wakuu habari zenu,
Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo..
Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
Kwenye taaluma ya ikolojia tumefundishwa kuwa, kukubali uwepo wa tatizo ni sehemu muhimu ya suluhisho ila kukana uwepo wa tatizo na kutafuta njia mbadala wa kutatua tatizo kanwa ni pata potea.
Ni ukweli kuwa matatizo mengi ya kijamii yanayohusisha mwingiliano wa mwanaume na mwanamke yanatokana...
Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana.
Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi na kuwa wavivu wa kujituma na kupambania ndoto zao.
Wanafunzi wanafundishwa tu wakazane na...
MFUMO WA RUFAA YA MATIBABU ni mfumo ambao unamwezesha mgonjwa kutoka kituo kimoja kwenda kigine kwaajili ya kujipatia Matibabu, kulingana na ukubwa wa tatizo, au uhaba wa wataalum , au kulingana na kutokuwepo kwa vifaa vya kutosha katika kituo husika.
Rufaa ya Matibabu hutolewa kulingana na...
Wadau, hakika ili taifa liwe imara mfumo wa elimu yake lazima ubadilike, tuko hivi tulivyo kutokana na aina ya elimu yetu tunavyoitoa ikiwemo mitaala yetu! wakati nimeona hili shindano nikadhani ni bora nilete mjadala huu mpana katika nchi yetu namna ya kuleta elimu yenye tija! na yafuatayo ni...
Unazalisha Maprofesa na PhD's wasio jiamini wala hata ku reason vitu basic kabisa hawawezi hata kusimamia ukweli pia hawawezi (Hili lilionekana waziwazi kwa Mawaziri hasa wakati wa utawala wa mwendazake ) na ndio hao hao wanafundisha watu vyuoni!
Unapiga vita utandawazi na kuaminisha kua...
Huwa inashangaza sana katika zama hizi za kukua mno kwa teknolojia kukuta taa za barabarani zinaita upande usio na magari kabisa hata dakika 2, wakati huo huo upande mwingine wenye msururu mrefu wa magari ukiwa umezuiwa kwa taa nyekundu, huwa nacheka sana.
Ninachojiuliza, kama simu yangu ya...
Samahan wadau,
Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa.
Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na...
Moja ya sababu ya elimu kuwa Duni na pia kukutana na Graduate au Masters ambaye uwezo wao ni mdogo sana kulinganisha hata na Darasa la saba au mtu mwenye elimu ya certficate ni kwa sababu ya Vyeti kuabudiwa.
Vyuoni watu huenda kutafuta vyeti na si kutafuta maarifa, ndo maana kule kuna njia...
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo...
CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League
Timu zilizotajwa
🇲🇦Wydad, Raja, Berkane
🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids
🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs
🇨🇩TP Mazembe, Vita Club
🇸🇩Al Hilal, Merrikh
🇹🇿Simba
🇬🇳 Horoya...
Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki.
Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi?
Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na...
Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike kwenye hii angle.
Ni bongo pekee ambapo usajili wa mchezaji hauzingatii CV yake bali upepo alioamka...
TCU mfumo CAS ulifeli kwa kuwachagulia wanafunzi fani wasizozitaka na vyuo wasivyovitaka.
Yaan mtu anaenda kusoma chuo kikuu fani asiyoitaka wala hakuiomba, na hajui inahusiana na nini.
Chuo kikuu sio sekondari kwamba umpangie mtu chuo na kozi ya kusoma. Hata Ulaya hawafanyi hivyo.
Waacheni...
TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
Nazungumzia mfumo Wetu wa uajiri na siasa zetu za vyama namna lilivyoathiri. Ukweli ni kwamba tumeendekeza siasa ambapo chama kilichoshinda Iwe Kwa haki au mizengwe ndio kinaunda serikali na Kuwa na ushawishi kwenye Ajira zote nyeti.
Hatimae kwa takriban miongo mitatu sasa athari iko wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.