meseji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Je TCRA au Mamlaka ya Tanzania wanaweza kusoma meseji za Whatsapp? Au zile za kawaida kwenye iPhone?

    Great Thinkers, Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone? Asanteni.
  2. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank meseji zenu zinakera

    Asalamaleko, Baada ya kufurahia kumbukumbu ya kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai, Ni wazi dhahiri sasa Dunia inatambua kuwa tupo chungu cha 21,Inshallah wiki ijayo pia tutasheherekea na kula ubwabwa pia. Sasa nirudi kwenye mada, CRDB bank hizi meseji mnazotutumia wateja wenu kila...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Meseji ya TAMISEMI

    Nimepokea meseji hii kutoka TAMISEMI naomba tujadili hapa serikali inakwama wapi kuhusu hilo suala la watoto kutokwenda shule pamoja na kujengewa madarasa mapya,je imefanya utafiti yakinifu kujua chanzo au wameamua tu kuendesha msako bila kujua sababu ni nini hasa inayowakwamisha wazazi/walezi...
  4. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI - Hizi meseji zenu za kampeni ni ukiukwaji msingi ya faragha

    Kwanini mchukue namba zetu za simu kutoka kwenye makampuni ya simu na kuanza tu kutuma tuma meseji bila consent?
  5. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

    Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
  8. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Hii meseji ina maana gani wadau wa JF?

    Nimetumiwa hii message ya trophy point cjui award sasa nauliza kwa wataalam humu ni nn na ina maana gani kwa mtumijaji wa jf?
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin arekodi meseji kadhaa za kuhamasisha vita vita, kisha atoweka zake

    Haijabainika alikojificha, ila kaacha amejirekodi video zake kadhaa za kutia hamasa ya watu wake wapigane Ukraine kisha akatoweka.......... Huku maandamano yakirindima nchi yote. Vladimir Putin has reportedly hunkered down in a remote palace on ‘holiday’ as widespread protests spread through...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kublock hizi meseji za bahati nasibu za haya makampuni ya mawasiliano ya simu

    Habarini wanajamvi. Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao. Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa...
  11. Dormant Account

    JamiiForums Tanzania Msaada, Mpenzi wangu kanitumia meseji ambazo nilikuwa namtongoza mtu mwingine

    Mitaa ya saa 2 hivi usiku niko nje mitaa ya home Kuna grocery tunapiga mbili tatu na washikaji zikaibuka pisi mbili zimekaa zimesimama pemben ya barabara kama dakika 10 hv bado wamesimama nikaona ngoja niende nikasogea piga story wakasema wanaeleka club fulan nikasema ngoja niwapeleke nikawasha...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano jitahidini meseji zenu za malipo ya huduma mbalimbali zifike kwa wakati

    Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana. Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mlioforwardiwa meseji za Happy Valentines day, hii inawahusu

    Kama umekuwa wa kwanza kufowardiwa ,narudia tena, kufowadiwa meseji ya Happy valentine na mtu mwingine kabla ya wewe kumtumia huyo mtu, jua tu aliyekuforwardia anathaminiwa na kukumbukwa na wengine zaidi ya wewe unavyomkumbuka yeye. Na usikute unapewa meseji iliyotoka kwa mchepuko. Kama...
  14. Zee Korofi

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

    Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank). Alikuwa bafuni, kwa kweli...
  15. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inajazwa na meseji za kushawishiwa kubeti

    Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti. Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani? Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia...
  16. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo KIUFUPI Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato...
  17. Mr. Purpose

    JamiiForums Tanzania Acha hii tabia za kutuma meseji kwa watu usiowajua

    Hivi ulishawahi kutumiwa huu ujumbe na mtu yeyote? Habari yako Samahani kwa kuja inbox yako bila ruhusa, namba yako nimetoa kwenye group la... Mimi naitwa......, naishi DAR. Naomba usave namba yangu na mimi nisave yako[emoji1319] kwa ajiri ya: Urafiki Status view Kuhabarishana Money...
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ni meseji gani unayotumiwa kwenye simu ila hupendi?

    Habari wakuu, Binafsi kila nikipokea muamala, muda si mrefu unaingia ujumbe wa mtandao husika wa kunitaka nicheze kamari. utaona ghafla '' Ndugu mwenye namba 0713 xxxxxx, ushaandaliwa TZS 800,000,000 jaribu leo. Na jumbe nyingi mfano wa hizi. Je, ni ujumbe gani hauupendi kabisa utumiwe kwenye...
  19. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Ukikuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wako, kipi cha kwanza cha kufanya?

    Natumai mu wazima sana. Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli?
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishae fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja

    Waziri wa Mawasiliano nakushauri anzisha fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja. Yaani mfano ukibaini hiyo namba ya kitapeli ni ya mtandao wa voda. Basi faini itozwe kampuni ya voda. Waachie makampuni wao wenyewe ndio wadhibiti...
Back
Top Bottom