meseji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamotee

    Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  2. J

    Nimenusurika kufumwa dakika za mwisho

    Hali zenu? Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu. Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kuongea na jinsia ya...
  3. Zogoo da khama

    Mbinu mpya wanayotumia matapeli wanaotuma meseji

    Habarini za asubuhi, Wale jamaa zetu wa "tuma kwenye namba hii" kisha wakaja na kauli mbiu yao ya "Mimi mwalimu mtoto wako ameanguka ghafla tunaomba utume pesa kidogo ya kusaidia matibabu ya haraka huku ukijiandaa kuja" wamekuja na kauli nyingine isemayo: " Habari yako? Mimi mwenye nyumba wako...
  4. Ethan Cruz

    Kutunza memories mlizoshare

    Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza mpaka mmeachana...khaa!nimewavulia kofia..Especially wanawake,ur best at this...nooomaaa! Sasa...
  5. Maji Chai

    Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

    Habarini wakuu Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli. Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye. Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu...
  6. joshydama

    Nimegundua mchumba wangu kanisaliti baada ya kuona meseji za mapenzi kwenye simu yake

    Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani. Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano aliniomba nimsaidie kutengeneza simu yake kwa sababu ilikuwa na matatizo katika upande wa WHATSAPP...
  7. K

    Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

    Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge. Ndugu zangu, naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe?

    Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo...
  9. genau

    Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

    Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza. Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi? pia soma: Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe...
  10. figganigga

    Meseji za Mapenzi za kumtoa nyoka pangoni..enjoy

    Heshima kwenu wakuu, Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae. Hii itasaidia kuamsha mapenzi na kumfanya mpenzi wako ajisikie poa Just mtumie meseji moja kati ya hizi uone majibu yake...
Back
Top Bottom