Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

running

New Member
Aug 17, 2018
2
2
Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?

20221011_132812.jpg
 
Mpokeaji amefanya setting kuwa ujumbe wowote ukitumwa atauona hata kama mtumaji akifuta, mpokeaji lazima aupate
 
Ukweli ni kwamba ujumbe utafutika ndani ya masaa kadhaa, receiver ameset hivyo. Na kama mko na chats za kabla ya hiyo settings utaona znabaki ila zile zenye hiyo alama zitapotea.
Acha kuchanganya mambo hiyo siyo hiyo unayoizungumzia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom