Putin arekodi meseji kadhaa za kuhamasisha vita vita, kisha atoweka zake

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,671
48,444
Haijabainika alikojificha, ila kaacha amejirekodi video zake kadhaa za kutia hamasa ya watu wake wapigane Ukraine kisha akatoweka..........
Huku maandamano yakirindima nchi yote.
1664111975585.png

Vladimir Putin has reportedly hunkered down in a remote palace on ‘holiday’ as widespread protests spread through Russia.
There has been severe backlash to the Kremlin’s new plans for partial mobilisation.

Upwards of 300,000 people could be called up to fight as the invasion of Ukraine continues.

Desperation efforts to boost numbers even resulted in officers turning up at the door of a 40-year-old man – who it emerged had in fact died in 2020.

Activists fear mobilisation is being enforced in poor, ethnic minority regions to avoid triggering further anger in major cities.

Putin is now rumoured to have disappeared to a palace in the forest at Valdai, putting himself a safe distance away from the chaos triggered by his mobilisation announcement.

Journalist Farida Rustamova claims he has pre-recorded a number of videos to use over the coming days.

Sources say he is ‘resting’ at his Valdai home – rumoured to be surrounded by peaceful lakes and majestic forests.

MSN
1664111975585.png
 
Haijabanika alikojificha, ila kaacha amerekodi video zake kadhaa za kutia hamasa ya watu wake wapigane Ukraine kisha akatoweka..........
Huku maandamano yakirindima nchi yote.
View attachment 2367732
Vladimir Putin has reportedly hunkered down in a remote palace on ‘holiday’ as widespread protests spread through Russia.
There has been severe backlash to the Kremlin’s new plans for partial mobilisation.

Upwards of 300,000 people could be called up to fight as the invasion of Ukraine continues.

Desperation efforts to boost numbers even resulted in officers turning up at the door of a 40-year-old man – who it emerged had in fact died in 2020.

Activists fear mobilisation is being enforced in poor, ethnic minority regions to avoid triggering further anger in major cities.

Putin is now rumoured to have disappeared to a palace in the forest at Valdai, putting himself a safe distance away from the chaos triggered by his mobilisation announcement.

Journalist Farida Rustamova claims he has pre-recorded a number of videos to use over the coming days.

Sources say he is ‘resting’ at his Valdai home – rumoured to be surrounded by peaceful lakes and majestic forests.

MSNView attachment 2367732
Nimeisoma hii habar sky news aisee
 
Si inasemwa Urusi ina maelfu ya miji ya siri chini ya ardhi ambamo zaidi ya nusu ya warusi wataenea na kuishi salama for years endapo nuclear exchange itatokea?

Au ulikuwa uzushi? If not, probably ndio maandalizi ya kutumia nukes ambazo amekuwa akijiapiza kuzitumia kila mara!
Satellite za Elon Musk zitatuonyesha kila kitu uko Russia. Russia walijiamini sana
 
P-U-T-I-N Seems To Be Completely MAD !! It Is As If He No Longer Cares For Whatever Is On The Way !! It's Apparently Clear That For Him To Give Up Is Not An Option !!
 
Russian fighter jets have shot down two Ukrainian MiG-29 warplanes modified to fire US-made anti-radar weapons, the Russian Defense Ministry said on Sunday.

According to the ministry, the planes that were intercepted in Ukraine’s southern Nikolaev Region were capable of carrying AGM-88 High-Speed Anti-Radiation Missiles (HARM) that are used to destroy radar stations on the ground.

The ministry reported that 12 Ukrainian drones were shot down, and 21 missiles, mostly from US-supplied HIMARS launchers, were intercepted mid-air.
 
Si inasemwa Urusi ina maelfu ya miji ya siri chini ya ardhi ambamo zaidi ya nusu ya warusi wataenea na kuishi salama for years endapo nuclear exchange itatokea?

Au ulikuwa uzushi? If not, probably ndio maandalizi ya kutumia nukes ambazo amekuwa akijiapiza kuzitumia kila mara!
Wenzake walishajipanga Kwa hilo, Marekani wana mabomu ya B-61 mod 12 nuclear gravity bomb. Haya mabomu bhana ni ya nyuklia lakini yana characteristics za bunker buster bombs Yani likishaachiwa na ndege linazama ardhini (Yani linawafata hukohuko ardhini mlimojificha) halafu ndo linapuka. Kwahiyo kama mpo chini huko kwenye mabunker still hamko salama nyuklia itawafikia tu. Haya mabomu mabomu Marekani kayasambaza kwenye nchi za NATO ikiwemo Germany na Turkey nadhani. Ujerumani ina ruhusa ya kutumia haya mabomu iwapo itatokea conflict na Russia. Baadhi ya ndege za NATO zinaruhusa ya kubeba haya mabomu kuanzia Tornado ya Ujerumani mpaka F-35 stealth.nk

Tizama hapa F-35 ikifanya majaribio ya B-61-12,halafu angalia hicho chuma kinavyozama ardhini Kwanza kabla ya kulipuka rasmi

Attachments

  • B61-12underground.jpg
    B61-12underground.jpg
    498.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom