Meseji ya TAMISEMI

TikTok2020

JF-Expert Member
Oct 20, 2022
1,817
3,141
Nimepokea meseji hii kutoka TAMISEMI naomba tujadili hapa serikali inakwama wapi kuhusu hilo suala la watoto kutokwenda shule pamoja na kujengewa madarasa mapya,je imefanya utafiti yakinifu kujua chanzo au wameamua tu kuendesha msako bila kujua sababu ni nini hasa inayowakwamisha wazazi/walezi kupeleka watoto shule,
IMG-20230131-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom