meseji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

    Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki! Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu? Naomba kuwasilisha
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi.

    Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa... Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀 Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Barua kwa ‘Kizuri Changu’ mtarajiwa, japo bado sijampata atakayeipenda aijibu barua hii

    BARUA KWA KIZURI CHANGU MTARAJIWA Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa hakika ya maisha na afya hii niliyonayo. Niko mahala napambana ili kuhakikisha mimi nasimama kama mume wako na baba pia Kuzaliwa kwangu kulikuwa ni furaha ila kadri nilivyozidi kukua ndipo nikaanza kupevuka MWILI sasa...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Meseji Muhimu kuhu Makonda ambayo ilichukuliwa kirahisi japo Rais akaielewa

    Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo na Pastory Katambi wakipeta tena kwa mbeleko ya refa
  5. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Sheria tatu za kutumiana Meseji

    Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa watanzania baada ya pause ya vitendo vya utekaji ni meseji kubwa kwa taifa .

    - Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa; -kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Meseji za bando zimekwisha usiku wa manane

    Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana. Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu kwa mfululizo unaweza kupuuza kwa kudhani ni SMS za mtandao ila ukiacha kusoma na umesikia ikiita...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

    Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike. Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!! Haya pokea. Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Meseji za Zuia Uhalifu zimekuwa kero sasa kwenye simu zetu

    Kuna meseji zinatumwa kuhusu Zuia Uhalifu. Ni wazo zuri lakini sasa wahusika wanazituma mfululizo kwa sisi watumiaji wa simu na kutujazia inbox zetu sisi watumiaji wa mtandao wa tigo. Hii ni kero sasa, wahusika watume walau mara moja kwa wiki.
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Single mother kamwandikia meseji hii Step Father

    Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra! Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema "Asipokuta vyombo vimeoshwa basi ajiandae kumpokea beki tatu atakaeletwa na Baba mzazi wa mtoto wake"...
  13. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

    Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe katoa Meseji kwa wana Simba SC kuwa Yanga SC wanajua ni wapo wanapoiwezea na Kuifunga kila mara na watakavyo

    "Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: East Africa Radio Ukiwa Mpumbavu...
  15. GLOBALIST

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu Meseji ya CDF Mabeyo kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
  16. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tigo una "filter" text meseji zetu

    Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani... Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
  17. C

    JamiiForums Tanzania Jana alinitumia meseji ya usiku mwema sawa moja jioni.

    Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani. Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
  18. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Kutumiwa meseji za maombi ya urafiki

    Natumaini mu wazima. Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu...
  19. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Hamna watu wanaojua kuandika meseji za kuchoma kama wanawake wakikupiga kibuti

    Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli. Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
Back
Top Bottom