Msaada, Mpenzi wangu kanitumia meseji ambazo nilikuwa namtongoza mtu mwingine

Dormant Account

JF-Expert Member
Apr 5, 2022
11,418
32,516
Mitaa ya saa 2 hivi usiku niko nje mitaa ya home Kuna grocery tunapiga mbili tatu na washikaji zikaibuka pisi mbili zimekaa zimesimama pemben ya barabara kama dakika 10 hv bado wamesimama nikaona ngoja niende nikasogea piga story wakasema wanaeleka club fulan nikasema ngoja niwapeleke nikawasha chuma nikawapeleka wakafika nikampa namba yangu kesho yake akanichek.

Mm bila hiyana nikaanza kupiga sound nikajua hii midemu inayoendaga club hainaga maelezo mengi nikamwaga sera zangu full maneno ya kiutu uzima, Khee kilichonikuta baby wangu kanitumia hizo sms zote nilizokuwa nachart na huyo demu.

Mpka sasa nimeshindwa kumjibu mpenzi wangu sms yeyote nimekaa kmya nimjibu vp
 
Kweli pombe mbaya mpaka sasa una hungover kunywa supu kwanza mkuu.
 
We cha kufanya kana hizo sms mwambie anakutaka anataka kukuchafua hizo sms amejitumia kama tayari kashafuta au anatumia kiswaswadu

Kama anatumia smart ame screen shot maongezi na namba mwambie ni rafiki yako ndio alikuwa anamtaka huyo demu kwahyo alikuwa anatumia simu yako kwa sababu wewe ndio uliomba namba ulikuwa nayo kwa wakati huo

IMG_20220305_113134.jpg
 
K I M E U M A N A

Na hayo ndio malipo ya uchepukaji...

Jizime data,, Liwalo na liwe...kitakachozaliwa utanyonyesha....

AU mwambi mwana ndio alitumia simu yako
 
sikuhiz kila,mtu huwa anaenda pub hakuna asie na pesa bongo bhana
 
Back
Top Bottom