Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Wanajamvi uzima upo?

Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).

Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kwa kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?

Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?

Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?

Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.

Nawasilisha!

1643867957820.png
 
Unampenda asiyekupenda. Kama mko chuo anakupenda kwa sababu unamsaidia kitaaluma.

Baada ya hapo mfanya kazi wa benki ambaye ndo mume mtarajiwa anatuma hela ya matumizi mnatumia wote.

Kama unamsaidia kitaaluma haina shida ila baada ya graduation utaona vumbi kama la Kibondo-Kasulu
 
Hongereni na hicho ndicho mlichofata chuoni na serikali inawapa mikopo na mkipewa mnakula mnavimbiwa basi mnaanza kula kwa urefu wa kamba zenu mnaumuana na nyuso Kama unga wa maandazi na hapohapo tunategemea muwe wataalum katika fani zenu mje mtusaidie watanzania wenzenu!.

Mungu aibariki kazi ya mikono yako.
 
Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).

Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kws kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?

Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?

Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?

Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.

Nawasilisha!
Umeandik wewe, naona aibu mimi.
 
Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).
Kiukweli naomba wakukamate unyee ndoo kijana acha ungese uliopitiliza unampigaje mwanamke ambae sio mkeo eti kisa SMS hata kama ni mkeo hupaswi na koma.

Unafeli wapi kutumia ustaarabu na kumaliza jambo dogo kama hilo ipo siku yako u tau na ww utanyongwa na nitafurahi mnoo 😠😠😠😠😠
 
Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank).

Alikuwa bafuni, kwa kweli nilihamaki sana, nikamsubiri amalize kuoga nikamuuliza, ajabu ananijibu jeuri, kws kweli nikampiga kwani nilikuwa na hasira, nilipiga ngumi jichoni, sasa jicho lilitoka damu, nina hofu anaweza kupofuka hilo jicho?

Au nilimkwaruza bahati mbaya tu?

Baada ya kuona hivyo nikamuacha na nikaita boda kumkimbiza hospitali baada ya kumnawisha. Halafu kingine alivimba mno uso, je, haitoniletea shida kwa madaktari hivyo kunikamatisha polisi?

Kifupi bado nampenda, tena sana na zaidi ya 93% ya mahitaji hununua yeye, na hata nikikwama hunisapoti naweza kusema hunisapoti sana.

Nawasilisha!

Badala ya kusoma unahangaika na mapenzi ya chuoni... 95% ya mahusiano ya vyuoni ni utoto tu, ukisup plus kucarry ndio utajua hujui..omba usidisco!
 
😂😂😂😂😂😂😂 Mario, bila shaka hata akipofuka utaendelea kumpenda vile vile. Mwanamke anaonywa tu hizo ngumi kapigane na mwanaume mwenzio
 
Back
Top Bottom