media

  1. Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

    Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya. Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita. Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
  2. Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo?

    Wanabodi, Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kutokea Mwanza, kikiongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendu na huku Dar huwa niko mimi tukikuchambulia...
  3. TBC - Mjadala wa Role of The Media kwenye mapambano ya Corona, Je, Media Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo?

    Wanabodi, Wale wenye access, naombeni muangalie TBC, kuna kipindi live cha majadiliano kikiendeshwa live kutoka Dodoma kikiongozwa Mtangazaji wa TBC Dodoma, Victoria Patrick akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dodoma, Habel Chidawali, ambaye pia ni mwandishi wa...
  4. Country Director at BBC Media Action

    Location: Dar es Salaam, Tanzania Reports to: Regional Director, Africa (based in London) Contract duration: 36 months (with the possibility of extension) BBC Media Action in Tanzania BBC Media Action is currently implementing several multi-year projects in Tanzania addressing themes such as...
  5. Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
  6. Nimeamua kustaafu rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari baada ya kuhudumu miaka 30. Niko free kujiunga Siasa, nimejiunga CCM na nitagombea Ubunge

    Wanabodi, Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari...
  7. Je, haya Mapungufu ya utoaji sahihi wa Taarifa muhimu kati ya Mainstream Media na Social Media yana Tija gani kwa Watanzania?

    Ukipitia Vyombo vya Habari kama Clouds tv na Mwananchi bila kusahau na vinginevyo vichache utaona wameandika kuwa akina Mbowe na Wenzake wameshindwa Kulipa Faini leo Mahakamani katika muda uliopangwa na wameenda Segerea wakimaanisha Kuanza Vifungo vyao . (Mainstream Media) Lakini hapo hapo tena...
  8. Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

    Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya ubunifu na hulipwa mshahara wa juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa midomoni mwa watu wakati wote na kuwa undisputed. Sasa tuone hapa kwetu, na wewe utakuja na orodha...
  9. H

    Kivumbi cup ya Wasafi media

    Wasafi wameanzisha michuano ya mpira inayohusisha team za mitaani ambayo inaitwa kivumbi cup kwa lengo la kupata vijana wenye uwezo lakini pia ni sehemu ya vijana kujipatia kipato.Mshindi wa mashindano hayo atapata mil 20 wa pili mil 10 na watatu atapata mil 5, man of the match, mashabiki Bora...
  10. H

    Salma Dakota wa TBC rasmi amejiunga na Wasafi Media

    Wasafi Media a.k.a Real Madrid wa media wamemsaini rasmi mtangazaji aliyekuwa anatangaza TBC Salma Dakota baada ya kufikiana makubaliano kwa pande zote mbili. Jana Salma Dakota ameaga uongozi wa TBC na wafanyakazi wote nakutoa shukrani zake zote kwa kipindi chake chote alichokuwa anafanya kazi...
  11. H

    Dudu Baya: Ashangazwa na media kukuza vitu vya hovyo

    Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika kwa mambo machafu lengo lao ni nini? Dudu Baya "Ameongeza pia kuna siku nilisikia mtangazaji ana...
  12. Huku kwenye social media kuna mambo huku

    Kwa sisi tunaotumia majina yetu na CV zetu halisi tumeweka wazi, humu ndiyo connections zinapoanzia unakuta linked link, kuna anaekuhitaji akiona CV anakuunganisha mara umepata mchongo. sasa kuna wale anakuona jina lako anakumbuka mlisoma wote Wailes, ana request friendship, unamuona ni Queen...
  13. JamiiForums is the best social media in Tanzania

    Wana JF, Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita. Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF. Ni media ambayo hufichua maovu...
  14. Half of Tanzanians living in ‘multidimensional poverty’

    Kenya has seen marked improvement in this 2019 ranking. In spite of the spate of natural disasters brought about by climate change. ==== An estimated 55.4 percent of Tanzanian population or around 31,778,000 people are in multidimensional poverty while an additional 24.2 percent or 13,872,000...
  15. H

    Kusaga: Sina hisa zozote ndani ya Wasafi Media

    Mkurugenzi wa vipindi clouds media Joseph kusaga amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa ana hisa ndani ya wasafi media kupitia mahojiano yake na jonijoo kwenye kipindi Cha bartender amesema " sina hisa zozote ndani ya wasafi na Wala sijawahi kumchangia chochote diamond zaidi ya kumpa ushauri kuhusu...
  16. H

    WASAFI MEDIA wafikisha mil 1 subscribers

    Wasafi media imefikisha mil 1 subscribers ya watazamaji YouTube na kuwa ni media pekee ya tz yenye subcriber wengi kuliko media yoyote ikiwa imeanzishwa muda si mrefu.
  17. Japo ' Wanachukiwa ' na wengi ila hadi hivi leo bado sijaona Baba wa ' Promo ' Tanzania nzima kama Clouds Media Group

    Hawa Jamaa kila ' Promo ' yako lazima itakuwa na Kishindo Kikubwa. Hongera sana Kwao Clouds Media Group kwani inaonyesha kuwa wana Vichwa hatari katika Masuala mazima ya ' Promo ' na sishangai Kuona kila Tamasha ambalo huwa wanaliandaa Wao basi ni lazima tu ' Nyomi ' lake litakuwa Kubwa na...
  18. Country Representative at Media partnership for amplifying youth and women’s voices

    Project: Sauti Mpya. CSOs-media partnership for amplifying youth and women’s voices (EU co-funded project – CSOs / Human Rights) Department/Area: Cooperation Relate to: Country Representative Contract type: 12 months renewable (including 3 months as probation period) Starting Date...
  19. H

    Mwigizaji maarufu Goo Hara wa Korea Kusini, Kajiua kwa kusemwa sana na vyombo vya habari

    Mwigizaji maarufu Goo Hara ambaye amezaliwa kwenye mji wa Seoul nchini South Korea ameigiza korean drama Kama City hunter, secret love na nyingine nyingi Leo amefariki akiwa na miaka 28. Mwadada huyu amekuwa akiandamwa na skendo na media nyingi za Korea kitu kilichosababisha apate frustration...
  20. Natamani siku moja nione JamiiForums kama social media platform inayomuingizia pesa kila mwanachama

    Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa. Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Nimejifunza mengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…