media

  1. A

    JamiiForums Tanzania How to Social Media

    Hello good morning peoples. Are you in social media platforms, Showcasing your business? How loud are shouting there? Or you are there just to keep up with the utandawazi thing? You have to shout, Lauder my freind to achieve more. So that you see it's impact to your business. Siri ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi mahsusi kwa uongozi wa CHADEMA Media juu ya hotuba za Tundu Lissu

    Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo. Pia itarahisisha kuzisambaza kwa umma kupitia ma group ya WhatsApp na mitandao mingine! Vipande...
  3. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

    Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24...
  4. J

    JamiiForums Tanzania On Social Media, Only Some Lies Are Against the Rules

    Your guide to every major social media company's misinformation policies on vital topics from COVID-19 to voting An outrageous conspiracy theory vilifying a political candidate. A meme encouraging shots of bleach to fend off COVID-19. An official-looking post falsely announcing that your...
  5. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania TCRA, inakuwaje magazeti ya Uhuru na Jamvi la Habari hayajafungiwa kwa kuripoti habari sawa na Clouds Media?

    Hapa kuna tofauti gani au nayo ni sehemu ya kuendeleza udhalimu na kutishia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu kutotangaza habari za upinzani.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyombo vya Habari vya Tanzania vimeshindwa kuandika na kuripoti pingamizi, badala yake wameripoti matokeo ya pingamizi

    Media zetu zina kazi kubwa sana safari hii, wakati mapingamizi yaliyowekwa na wakasomewa content na context ya hayo mapingamizi walirekodi na wakawa wanafurahi jinsi hoja zilivyopangwa Baada ya kurekodi na kuandika, hakuna chombo chochote kilichoripoti Kama habari kubwa kuwa Lipumba na Mzee...
  8. Kipapatiro

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania RDJ Mamie wa E-FM amejiunga rasmi na Wasafi Media

    DJ Maarufu wa E-FM na mwenye manjonjo ya aina yake DJ Mamie, jana ametanganza rasmi amejiunga na Wasafi Media kupitia Instagram yake. Baada ya kupost, hiyo post imepata like nyingi na comment nyingi kuliko post zake zote na kuonesha namna gani mashabiki walivyofurahia kuja kwake Wasafi Media...
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mjirekebishe kwenye Media Management

    Sasa ndugu zangu wa CHADEMA, kama mnajua fika kwamba serikali kupitia Dr. Abbas na TCRA wanahujumu katika vyombo vya habari kwanini msitumie mbinu mbadala kwenye press conference zenu na pia hata mikutano yenu? Katika presser ya Tundu Lissu leo, chombo kimoja tu - DAR MPYA - ndicho kilikua kina...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana kisiasa kwa Wananchi kuona mikutano ya Lissu mitandaoni halafu mikutano hiyo haionekani kwenye Television na Media zingine

    Moja ya mambo yatayoigharimu CCM hii ya Magufuli, ni hiki kitendo cha mikutano ya Lissu inayovuta maelfu ya Wananchi kusambaa mitandaoni huku kwenye mainstream Media kama vile tv na redio mikiutano hii hairipotiwi wakati wananchi wanategemea kuiona ikiripotiwa katika vyombo hivi vya habari...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Belarus television broadcasts empty studio as state media joins general strike

    Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa Waandamanaji kutaka Rais wa nchi hiyo, Alexander Lukashenko kujiuzulu Mmoja wa Wafanyakzi hao akihojiwa na Kituo cha Interfax amesema wanaenda na wao kuandamana na takriban wafanyakazi 100 wamekusanyika...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

    Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

    “Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto, tusubiri kuona kama media za nchi hii zitatangaza tukio hili

    Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini. Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Katika msimu huu wa uchaguzi mkuu, mitandao ya kijamii itafanya kazi kubwa kuliko traditional media

    Yani lolote litakalofanyika kuzuia hivi vyombo vya habari vya kienyeji kama vile magazeti, TV, radio katika kipind hiki cha uchaguzi ni sawasawa na bure kwani kutokana na mageuzi ya sayansi na tekinolojia zinajulikana kama traditional media haitasaidia. Social media zina nguvu kuliko hizi...
  17. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

    Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities. Content and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

    Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni. Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa...
  19. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Media nawaona kama mnapwaya mno

    CHADEMA Media mmezubaa mno, hivi inakuwaje mnashindwa kufanya Livestreaming ya matukio ya Mgombea wetu hadi tunaanza kubambiabambia platforms zingine ambazo zinafanya censorship kubwa sana katika kureport matukio ya Kipenzi chetu, Mteule aliyeyashinda mauti Tundu Antiphas Lissu? Yaani mnazubaa...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuwaacha media wapambane na hali zao ianze

    Ndugu wananchi ! Naamini mnaanza kuona mwenendo wa baadhi ya vyombo vya habari kuipendelea CCM. Naomba kuwauliza lisu ameikosea Nini media house ya Tanzania? Lisu alinusurika kuuwawa kwasababu ya kutetea watanzania na madhila mpaka ya kupokonywa ubunge ni kwasababu ya kutetea haki. Hivi...
Back
Top Bottom