Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya ubunifu na hulipwa mshahara wa juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa midomoni mwa watu wakati wote na kuwa undisputed.

Sasa tuone hapa kwetu, na wewe utakuja na orodha yako:

Clouds FM: XXL Wasafi FM: Block 89
Clouds FM: Leo Tena Wasafi FM: Mashamsham
Clouds TV/FM: Social Buzz/Break Wasafi TV: Refresh
EFM: Sports HQ Wasafi FM: Sport Arena
Clouds Media: Ndondo Cup Wasafi Media: Kivumbi Cup
Clouds Media: Malkia wa Nguvu Wasafi Media: Super Woman EA Radio: Mwanamke Kinara

Hii inaonesha jinsi gani hakuna ubunifu na ni mambo ya kupeana kazi kwa kujuana, mara zote alieanzisha wazo huonekana yuko juu, naendelea kusema Mawingu wanachonga njia wengine wanapita, Wasafi ni kama hawawezi kuja na idea zao mpya mpaka waangalie mawingu anafanya nini, na wao wameanzisha tuzo za Superwoman baada ya mawingu kuwa na tuzo za Malkia wa Nguvu.

Yetu macho, maana hata media za mikoani nazo ziko kwenye mkumbo huu wa kuigaiga.
 
Show Buzz hiyo nayo Copy and paste kutoka EATV mtangazaji alikwa Dominic Nyalifa.

XXL Copy and paste Radio One jina la kipindi nimelisahau ila mtangazaji alikuwa Aboubakar Sadiki.

Mashamsham na Leo tena tofauti,Mashamsham ni kipindi spesho cha taarabu,ila Leo tena ni kipindi kimekaa kijamii zaidi yaani mwanaume,watoto,mwanamke wote wanaweza sikiliza.

After skul Bash ni copy and paste ya Likizo Tyme ya Majizo.
 
Hapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league

Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu...

Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?

Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?

Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo

Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?

Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...

Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league

Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu...

Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?

Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?

Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo

Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?

Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...

Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon

Sent using Jamii Forums mobile app
Anachomaanisha mtendaji nadhanj ni kwamba jina la kipindi ni lingine lakini utendaji unakua na wa kuiga uleule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jipya chini ya jua, muhimu waboreshe tu content zao kuwin wateja wengi zaidi.
Vipya vipo vingi tu, ndio maana vituo vya TV vinaanzisha TV tena kwenye akaunti za You Tube, kikubwa watoepesa watu wafanye hizo kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom