mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wazabuni wanaoidai STAMICO kulipwa, ataka Serikali iache kigugumizi

    Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Dunstan Kitandula amesema bado kuna madeni makubwa ya Wazabuni waliofanya kazi STAMICO na Kampuni zake tanzu. Asema zoezi la Serikali kutathmini madeni hayo limefanywa kwa muda mrefu Amesema, "Vyombo vyetu vimefanya kazi hii, Tuache kigugumizi cha kuwalipa wazabuni...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kikoyo: Sheria ya Bima ina matatizo makubwa, hatuwatendei haki wananchi

    Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa. Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi la Polisi watapima, Kesi itapelekwa Mahakamani Hukumu itoke kisha Mhanga aiambitishe ili kwenda...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Agnesta Kaiza: Kesi za kubambikiwa zinasababisha mrundikano katika magereza

    Mbunge Agnesta Kaiza ametaja ubambikizaji wa kesi nyingi za jinai kuwa sababu mojawapo ya mrundikano katika magereza. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Amefafanua, "Kila leo unasikia fulani ana kesi ya Uhujumu Uchumi. Mke na Mume wakipigana nyumbani wakifikishwa Mahakamani unaambiwa umehujumu...
  4. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nini majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais?

    Wakuu. Pamoja na kwamba nafahamu katiba imeruhusu Rais kumteua wabunge wasiozidi kumi bungeni. Naomba kueleweshwa. Naomba kufahamu majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais ambaye ni Mbunge tu hajapewa uwaziri wala unaibu waziri. Kwa mfano Dkt. Bashiru Ally
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai, Mafuwe ameiomba serikali kuu kusaidia waathirika wa mafuriko kwani vyoo vinatapika ovyo!

    Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko. Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo vinabomoka na vinyesi kuzagaa mitaani hali inatishia uwezekano wa kuzuka magonjwa ya mlipuko wakati...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, mteue Zitto Zuberi Kabwe awe Mbunge akaongeze chachu ya hoja Bungeni

    Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali. Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania. Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
  8. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anajua kuwa Jesca Kishoa sio Mbunge

    Kama ulifuatilia taarifa ya Mh Ridhiwani wakati mbunge wa Ndugai anatoa hoja yake utagundua jambo. Alianza kwa kusema, mh Naibu Spika, napenda kumpa taarifa ndugu Jesca Kishoa... Hiyo inamaanisha kuwa ndani ya bunge na kati ya wabunge wale wako ambao hawaitambui ile timu ya wabunge 19...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema ataka kupigana na Katibu wa Mbunge mkutanoni

    DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara. Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule. Ndipo mwenyekiti wa...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  11. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Mimi siongezi neno hapa Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Picha Kubwa: Mbunge Dkt.Ali Bashiru akifuatilia hotuba ya Rais Samia

    Bashiru Ali akifuatilia hotuba ya mheshimiwa Rais. Mbunge huyu wa viti maalumu kabla ya kuteuliwa amewahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwemo Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM. My Take 1. Demotion isikie tu kwa mwenzio 2. Malipo ni hapa hapa duniani
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge ameomba fedha kwajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanafariki kila mwaka

    Mbunge wa jimbo la Igalula, Venant Protas ameomba kutengwa fedha kaajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanapoteza maisha kwa kusombwa na maji hasa akinamama wajawazito wanaofuata huduma kata jirani na wanafunzi. Venant amesema Daraja hilo limekuwa...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

    Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo. Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde agawa tani 29 za saruji kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AGAWA TANI 29 ZA SARUJI KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA NA ZAHANATI DODOMA JIJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde leo amekabidhi saruji tani 29 kwa Afisa Elimu Msingi na Afisa Elimu Sekondari ili kusaidia ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za msingi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kama Mbunge ulipita bila kupingwa au uliiba kura lazima utambue wewe ni "Mtumwa" wa DED hadi 2025

    Huo ndio ukweli mchungu. Kwa mfano wale Wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dkt. Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri. Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM adai DED wa Kilwa anajifanya mungu-mtu. Ametukana madiwani, Mbunge hadi RC na anawadharau sana

    Mbunge wa Kilwa amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa. DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa yeye ni mteule wa Rais hivyo hawawezi kumfanya lolote kwahiyo mbunge huyo amemtaka waziri Ummy...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mbunge wa CCM kwa sasa viwango vya Filikunjombe

    Nimemkumbuka sana huyu bwana. Huyu ndiye alikuwa Mbunge bhana! Nilifikiri Gambo atakuwa hivyo lakini Gambo wa watu wapi bhana! Yaani bariiiiiiiidiiiii amebaki na agenda yake ile ile ya wageni kupewa vibali vya kazi Tanzania kwa sababu ya uwekezaji wao. Yaani hana jipya Gambo! Niliamini pengine...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Watumishi wameifikisha Tanzania Uchumi wa Kati, tunasubiri nini kuwaongeza mishahara? Asema imeshusha utendaji

    Mbunge wa viti maalum Wafanyakazi, Janejelly James Ntate amesema watumishi wameweza kuifikisha Tanzania Uchumi wa Kati kabla ya wakati wake mwaka 2025. Akiwa kwenye vikao vya bajeti vinavyoendelea mjini Dodoma amesema watumishi walifanya hayo kwasababu serikali kupitia vyama vya watumishi...
Back
Top Bottom