mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania. Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo. Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
  3. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mboga nilioikuta Tanga sijawahi kuiona popote, ni mbaya

    Tembea uone, Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona. Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai yaliokorongwa. Af wenyeji wakachanganya kwenye maharage, yani nimeshindwa kula kabisa, kama yale ndo mapishi...
  4. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

    Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi??? 👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒 Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

    Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki. Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Si mnatamba mna kikosi cha ubingwa wa Afrika? mbona sasa vijiweni na vikaoni mwenu leo mnasali mkutane na hawa wadhaifu?

    Mnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi. Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma... Al Ahly ( Egypt ) Simba SC ( Tanzania ) TP Mazembe FC ( Congo DR ) Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania ) Kila Siku...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mzunguko wa pili wa NBC Premier League walipokaa kileleni walitamba mno mbona sasa mzunguko wa nne wako kimya?

    Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Makamba na Maharage Chande walikuwa wanafanya makusudi kuwe na mgawo? Mbona tangu wameondoka ni kama hakuna mgawo?

    Hatua kwa hatua mambo yameanza kuwa gado ndani ya muda mfupi, Sio nchi nzima ila baadhi ya maeneo tunaanza kuona umeme umeanza kuwa na nafuu, kata kata imepungua. Nina duka katika soko kubwa huwa namwacha binti wa kazi, ilikuwa ni kila siku asubuhi mpaka jioni umeme unakata, nikienda jioni ndio...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Katibu wa UVCCM Lulandala ana umri gani? Mbona kama umri umesogea?

    Naona kama Lulandala anaelekea 50yrs ; kwanini kateuliwa kuwa katibu wa UVCCM? Lakini pia kwanini vijana wa CCM wasijichagulie katibu wao? Lini watapevuka kama hata viongozi watapangiwa?
  10. blogger

    JamiiForums Tanzania Sheria Za nchi zinasemaje!? Huyu mbona anaachwa tu?

    Fisi maji huyu..!
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, button ya Uhuru wa kujieleza imezimwa?

    Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza. Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa TIGO Mbona huu ni kama wizi wa mchana kweupe

    Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo. Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha. Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kagusa TANESCO, TTCL, REA, POSTA. Mbona EWURA hajagusa?

    Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili. Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nape kama kura zipo mtaani na siyo kwenye mitandao mbona huwa mnazima mitandao?

    Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi? Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020 tulivyolazimika kutumia VPN Ili kuwasiliana kupitia mitandao? Sisi watanzania siyo wasahaulifu kiasi...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulitambiwa kuwa ni mwendo wa Tano Tano, mbona sasa tumeanza na Moko Moko Chamazi?

    Leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
  17. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

    Wanajamvi nimeshangaa kusikia kumiliki kifaa kipya kama hiki ni almost 10millions. Kina maajabu gani zaidi?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuuza umeme nje mipango ya tangu 2014, ilizimikia wapi mbona tupo gizani bado?

    Wanajamvi soma hii👇
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hii EATV mbona ina wachambuzi wapuuzi hivi?

    Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge? Simba ilifungwa? Hapana Imeshatolewa CAF CL? Hapana Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita, unasema imerudi kinyonge kwa sababu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ameniambia" Tafuta Hela" Najiuliza mbona yeye Wenye Hela hawamuoni?

    Duniani kuna majambo na vijambo. Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm. Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu. Eneo hilo hilo kuna Yard ya Wauza Nyapu. Turudi nyuma kidogo, siku hizi ukikutana na Mwanamke Mzuri au mwenye...
Back
Top Bottom