Kila Siku tunamsifia Kipa Djigui Diara kuwa ana Footwork nzuri Jana mbona hakuitumia ili zile Gongo Mbili zisiingie Nyavuni mwake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,851
109,552
Hakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja NISIYOIPENDA Tanzania.

Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
 
unaweza usipende ila ikakushughulisha na kua energy vampire wako
 
Oya mzee baba kipa yeyote angefungwa zile goli...

Goli la kwanza, ule ulikuwa ni mchomo wa papo kwa papo na kumbuka mpira uligonga gonga watu kabla ya mfungaji kuendelea na movement yake kudeal na mpira tu...

Goli la pili ndio kipa angejifanya mbishi labda angeteguka, sababu mfungaji alibadilisha direction ya mpira uliopigwa na Fofana, kipa kadance kulia kwake, ngoma ikabadilishwa kwenda kushoto kwake...
 
Mlivyo mbumbumbu kwenye mkutano mkuu mtaambiwa mafanikio ya msimu huu Inonga kucheza nusu fainali AFCON na mtashangilia
1705832438897.jpg
 
Back
Top Bottom