Mbona askari wa nchi za wenzetu hawana vitambi?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Sisi kama Taifa tunafeli wapi? Askari wetu wa majeshi mbalimbali wamenenepeana na vitambi juu. Mbona nchi za wenzetu askari wao wako smart bila mavitambi? Mitaala ya askari wetu ibadilishwe huko vyuoni nadhani. Tunatia aibu
IMG_9815.jpeg
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    10.4 KB · Views: 2
  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    10.7 KB · Views: 2
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    9.5 KB · Views: 2
  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    11.4 KB · Views: 2
Wanaviita vitambi vya mazoezi
😂😂😂 Anajua, basi tu.

Mie nawajua wengi tu, tena usikute ndi hao hao waliwaandaa hao jeshi kwenye picha.

Usicheze na JW bana. Jamaa wanapiga saba saba kushinda wanajeshi wa Ukraine.
img_20240203_204836-jpg.2893205

Hiyo kitu hata wazungu washasahahu kutumia...ukitaka training lazima uje bongo!


Huko unasikia M23 wanaomba su.

Fanya mchezo na kitambi.
 
Kama mumechunguza vizuri mtaona kuna watu humu ili wachafue majeshi yetu lazima walinganishe na majeshi ya Rwanda ila tuliosoma mwanakwerekwe tushaelewa lengo lao.
Katika majeshi Ukanda huu wa Sahara, JW halina mfano.

Wa Cuba wenyewe wamesahau Gorilla Warfare. Wanarudi kujifundisha kwetu?


Mie najisfia na Jeshi letu. Vitambi au lah
 
Vitambi vya mazoezi,misuli yao haimithiliki ukikunjwa kabari lazima upumulie milango yote ya taka.
 
Back
Top Bottom