mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Maoni yangu jinsi ya kuboresha Sekta ya Elimu nchini

    Habari wana bodi ni matumaini Yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kitanzania miaka 23 pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi. Siku ya Leo nimewaza Sana ambayo yanaweza boresha sekta ya elimu na maisha ya walimu kwa ujumla kama ifuatavyo; 01. Kuwe na Kodi ya...
  2. G

    Mzigo wako mbona umekuwa mdogo?

    Wasaalam! Kutokana na kuwa jobless kulana ndio imekuwa sehemu ya kupunguzia mawazo. Leo ikanibidi nimtafte X wangu mmoja angalau tupashe kiporo, tukapanga mida ya saa 10 atakuja geto tufanye yetu. Shetani hakuniangusha saa 10 katimba geto tukaanza kufanya yetu katikati ya mchezo akanambia...
  3. R

    Mbona sisikii shamra shamra za Women's World Cup mtaani kwangu na Tanzania nzima kwa ujumla?

    Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
  4. Mto Songwe

    Haya hapa Mashirika/makampuni 500 bora duniani, Afrika mbona kiza ?

    FORTUNE GLOBAL 500 -The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine. The following is the list of top 10 companies in 2022. Fortune Global 500...
  5. M

    Mheshimiwa Mbowe, mbona ajenda ya bandari na katiba mpya umeiacha kwenye mkutano wako huko Mutukula?

    Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana. Iweje Mwenyekiti...
  6. malisak

    Kwani Siku Hizi Hatuli?, Mbona Paka Kalala Jikoni?

    Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
  7. DELETED ACCOUNT

    Mbona Yanga hawakutoa "Thank You" kwa watu hawa?

    Utaratibu wa kutoa post za "Thank You" kupitia mitandao ya kijamii kwa wachezaji au makocha wa benchi la ufundi wanaokoma kuitumikia timu umekuwa ni utaratibu mpya ulioanza kutumiwa na timu zetu hivi karibuni. Ukiangalia kwa makini namna tangazo la "Thank You", imeonekana kama ni unafki fulani...
  8. saidoo25

    Mzee Kinana mbona hazungumzii Mkataba wa Bandari

    Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama. au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
  9. W

    Rais Samia kapeleka huduma za maji kila kona ya Nchi

    Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata nilipofungulia kituo cha CHADEMA TV nao nikakuta wanarusha habari ya uzinduzi wa mradi wa maji yaani...
  10. S

    Mbona hatukumuona Chongolo akifanya ziara ya kulaani ufisadi wa CAG? Kwanini anatetea Mkataba tu wa DP World?

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru wa kutoa maoni. Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
  11. GENTAMYCINE

    Sakho wa Simba SC tumeshajua Sakho Kauzwa wapi, mbona Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata 'K na Mjichubuaji' hatuambiwi wameenda wapi?

    Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi. Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K na Mjichubuaji si tu hawaonekani bali hata hatutangaziwi Hatima zao wakati Wafuatiliaji wa Masuala...
  12. B

    Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

    Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina. Hio...
  13. GENTAMYCINE

    RPC Muliro kuna nini kwa sasa Mbweni mbona kuna Vibaka na Ujambazi mwingi?

    Kama kuna mahala kwa sasa ambako Wakazi wake wanalia kwa Kuibiwa na Vibaka mchana na kuingiliwa na Majambazi nyakati za Usiku ni wale Waishio maeneo ya Mbweni. Kuna maeneo kama Kawe, Mwenge, Kunduchi, Mgulani, Ukonga, Gongo la Mboto, Makumbusho, Mbweni, Oysterbay Msaada Kontena, Kurasini na...
  14. Nsanzagee

    DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

    Sauti ya Rais ni faraja, Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari! Kila upande...
  15. dubu

    Walioimba Kwaya kwenye Msiba wa Magufuli mbona siwasikii huu wakiimba kuhusu DP World Msiba wa Taifa?

    Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi? Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
  16. TODAYS

    Mbona hatueleweki, akisema mbaya au nzuri yote tunashangilia, angalia Hayati Magufuli anavyoshangiliwa

    Uzuri wote tulivaa kijani na njano, hakukuwepo na kaki au nyekundu humo ndani. Kama una bundle angalia na usikilize hii 👇🏾. Mzee baba alikuwa anapiga madongo ya kusiliba aina ya ukopaji na kuomba ovyo misaada, hii ilionyesha alikerwa sana na mfumo wake. Ndugai (huyu aliyewahi kuwa spika...
  17. N

    Mbona sielewi mnavyoishi humu?

    Nimeandika bandiko tokea asubuhi hadi sasa silioni likichangiwa na wadau. Kupandisha bandiko lionekane kwa watu bei gani kwani?
  18. R-K-O

    Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

    Kibongo bongo kozi za kompyuta tushazoea kuziita kozi za IT ikiwemo computer science, computer engineering, IT, n.k. Maisha ya sasa teknolojia ipo mbali sana na tunatembea, smartphones, internet, apps, n.k. zimekuwa sehemu ya maisha yetu. Hapa bongo pametulia mno utadhani hatuna wanafunzi wa...
  19. Adolph Jr

    Futuhi,Star tv kuna nini mbona sielewi?

    Ni muda mwingine tena salaam, Kwa kweli sina hamu ya kuangalia local channels maana hawana mpangilio wa vipindi ili kumvutia mtazamaji zaidi huwa naangalia taarifa ya habari saa mbili, bbc swahili saa tatu na vipindi vya comedy hapo (bongo movies) unikamata. Sasa kuanzia huu mwaka umeanza...
  20. Money Penny

    Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

    Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunywa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka...
Back
Top Bottom