Hii picha imepigwa vipi? Mbona haieleweki?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,609
9,539
Tazameni hapo ubaoni. Ina maana mwalimu anatumia shoto kuandika? Mola atusaidie tu
GGCLyefWAAAFBMk.jpeg
 
Ukiacha app za mitandaoni hata AI sasa unaweza iambia jambo ikakuletea matokeo.

Usiamini kila kitu unaona mtandaoni labda kama ulikuwa na lengo tofauti.
 
Tazameni hapo ubaoni. Ina maana mwalimu anatumia shoto kuandika? Mola atusaidie tuView attachment 2902065
Editing iliyotumika hapa ni editor ame-imagine hayo maandishi yameandikwa kwenye surface ya kioo angavu (transparent mirror.) (sio hivi vya kujitizamia vinavyoakisi mwanga no))

Alieandika hayo maandishi alikua upande wa pili wa kioo kama utasimama angle ya pili ya kioo na kutazama maandishi katika hiko kioo basi yatasomeka vyema kabisa

Sasa huyo dada kaenda Nyuma ya kioo, ambapo ndio hapo alipo Sasa ni nyuma ya kioo then akapiga picha,

Na hii picha ni edit kwasababu kiuhalisia maandishi yapo ukutani na sio kwenye kioo,.

Kwenye tools za kuedit ni una press tu mirror effects simple.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom