Jana yamenikuta!
Nilienda zangu tips kuinjoi weekend baada ya uchovu wa kazi overtime.
Nikakutana na msichana mrembo haswa tukasimama meza moja tukaanza kula kilaji huku tukipiga story na kufahamiana. Nilivutiwa na maongezi yake as alionekana ni dada anaejielewa mtu wa biashara anafunga...
Wana jf
Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
Wana jf,
Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie.
Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.
TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena...
Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa.
Wadau hawa wamekuwa na malalamiko na hata maonyo kufuatana na jinsi tunavyopambana na ugonjwa huu.
Wamekuwa wakiulizia mbinu zetu za mapambano:
Kwa vile...
Habar wadau nilikuwa nasoma ule uzi wa jinsi ya kupangua mizinga nikajifunza kitu kumbe kuna jamaa hataki kunipa pesa yngu ananikwepa tu sasa nikaona nike na hii thread hasa kwa sisi ambao bado 2 years tumalize chuo tunahitaj msaada zaid maana ndio tunapna life la kujitegemea lile.
Sasa basi...
Mbinu Binafsi Dhidi ya Korona
NARUKA!: Haya ni maoni binafsi. Mimi si daktari tabibu wa binadamu (MD). Ukiyafuata yaliyoandikwa humu ni kwa hasara na hatari yako mwenyewe. Yaliyoandikwa humu siyo ushauri wa afya. Pata huduma kwa watoa huduma za afya wanaotambulika na mamlaka husika kwa masuala...
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Chochote unachokitaka kwenye hii dunia unaweza kukipata kutoka kwa watu. Kiwe kikubwa, kiwe kidogo; iwe watu wengi, au watu wachache. Cha muhimu ni kujenga mazingira yatakayofanya wakupe “wewe” na/au waendelee kukupa tena na tena.
Kwa miaka yote niliyofanya kazi katika taasisi kubwa za serikali...
Haya mambo hayana ukubwa!
Kichwa kidogo kikisimama, cha juu kinasanda!
Wadau, naomba kujuzwa!
Ni namna gani marais na wafalme huomba gemu?
Ikumbukwe raha ya hizo mambo huwa tamu kwa wahusika ikiwa zinafanyika faragha na kwa siri baina ya muombaji na muombwaji!
Sasa kwa mazingira ya mitutu na...
Kama kawaida sekta za ujenzi haisimami. Kazi ni kila siku yaani 24/7.
Kwa site engineers hasa barabarani tupeane mbinu za kuminimize cost za ku-run site activities.
Pia na jinsi ambavyo tunaweza kunufaika na shughuli hizi.
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma.
Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake.
Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau
---
Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu.
Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa.
Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo...
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena.
Maana yake ni kuwa sisi...
Matukio mengi yamekuwa yakisemwa yakiwahusisha viongozi wa dini kuwaingilia wanawake na hata wanaume!
Yamkini mama zetu, Dada zetu na hata wake zetu hawa huwa hawachukulii maanani kwakuwa wanakuwa kiroho zaidi kwa kuwaamini watumishi; lakini yanapowatokea wanaumia na kutunza siri ili kuepuka...
Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya.
Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama...
Habarini za pilikapilika wakubwa,
Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa.
Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa umri umekwenda kwa hivyo mimi kama kijana sasa ni vyema nikajipatia mke sasa kisha nianzishe familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.