mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Pambalu ni nani, ametumia mbinu gani kuua CCM Mwanza?

    Huyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza CCM Mwanza lakini amepata wapi uwezo huu?
  2. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania Upinzani mmepewa mbinu nyingine ya ushindi, akili kichwani

    Kwa yanayoendelea mpaka sasa sijajua ni kwa jinsi gani upinzani umejiandaa kulinda kura zao kuanzia level ya vituo vya kupigia kura ambavyo viko 88k+ nchi nzima. Ila hilo halinifanyi niache kuwashauri hata kama tayari wanazo mbinu Mbadala. Kwa harakaharaka utagundua kuna mchezo unapangwa na...
  3. tang'ana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

    Hello JF. Ebana nina mtihani hapa ndugu zangu kuna huyu bibie niko naye, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda, akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. Cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha. So nimepanga...
  4. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakifaulu wanasifia miundombinu, wakifeli wanalaumu walimu

    Tumeona baada ya matokeo ya form six kutangazwa na shule nyingi za Serikali kuingia kwenye 10 bora, sasa wameibuka wanasiasa, wakijinasibu namna matokeo hayo yalivyopatikana, wengi wanasifia majengo waliyojenga, madawati waliyonunua, na baadhi husifia jitihada za wazazi kusimamia watoto wao...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu

    22 August 2020 Tunduma, Songwe Tanzania CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu za wagombea. Hivyo wameomba uchunguzi na hatua za haraka za kiuchunguzi zifanyike ili kama kweli mipango hiyo ipo basi...
  6. Nkobe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya mbinu hii, Uchaguzi wa 2020 tulidhani Magufuli atapita bila kupingwa

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila chombo cha habari kilihakikisha kinatangaza sifa za mfalme, kuna TV zimediliki hata kuacha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015, Jecha Salim Jecha alifuta matokeo, mwaka huu wa 2020 watakuja na mbinu gani?

    Wadau, hili ndio swali tunalopaswa kujiuliza kwa kuzingatia yaliyotokea mwaka 2015 ambapo matokeo ya uchaguzi yalifutwa na Bwana Jecha ambae ndio alikuwa kiongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Binafsi na ni imani yangu tuko wengi tunaoamini kuwa hata mwaka huu Maalim Seif atashinda...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mbinu ipi sahihi kuwasaidia ndugu? Ukiwasaidia "anatunyanyasa", ukiwanyima "hatujali"

    Ndivyo hali ilivyo kwa wengi wanaotwgemewa, Usidhani ya kwamba ukisaidia basi ndugu hufurahi, baadhi hujenga picha ya kwamba unawanyanyasa kwasababu wewe ndie mtoaji. Pia ukikata msaada kabisa tegemea vituko zaidi maana utaonekan ahuna ushirikiano. Haya mambo yanatokea sana kwenye koo ambazo...
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Je, mbinu inayotumiwa na CCM kwa kipindi hiki ya kukaa kimya itakisaidia chama hicho?

    Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa. Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likija kwenye suala la miundo mbinu, University of Ghana imeshinda university yoyote ya Kenya au Tanzania

    University of Nairobi imeishinda university of Ghana kimasomo, (tukizingatia ranking) lakini university of Ghana ina miundo mbinu (infrastructure) ya ajabu. Imejengwa ikajengeka. Ina majengo mengi na yenye hadhi ya juu. Hakuna university hapa A.M imeikaribia kwa majengo.
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

    Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hajui historia mbinu anayotumia ya ngangari CUF Zanzibar walishaitumia haikuwafikisha popote

    Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha Sasa Lissu...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu katika ofisi kama hii tunatumia mbinu gani kutoboa

    Mwanzoni nilikuwa naona napambana na watafutaji wenzagu hapa. Mpambano ulikuwa mkali maana inafika kipindi hupewi taarifa juu ya jambo ulilotakiwa kutekeleza alafu Baadae Boss anapigiwa kuwa jamaa kakukomea kufanya ulichoagiza. Mnakubaliana jambo ukianza kutekeleza tu, jamaa wanaibuka kusema...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inawezekanaje miundo mbinu iliyojengwa na pesa za watanzania wote, ionekane kuwa imejengwa na CCM pekee?

    Turufu kubwa inayotumiwa na wanaCCM, ili Rais Magufuli apewe tena miaka mingine 5 ya kutawala nchi hii, ni kuwa Rais huyo amejenga reli ya SGR, amejenga mafly overs, amejenga mabarabara ya lami, anajenga bwawa la umeme katika mto wa Rufiji Nimekuwa nikijiuliza ni kwanini juhudi zinazofanywa na...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Mbinu iliyotumika kuwapa rushwa wajumbe wa CCM

    Baada ya kusikia na kuona malalamiko mengi Sana ya watia nia ndani ya ccm kuwa walioshinda kura za maoni ni wenye fedha nyingi, Sexless unit iliingia majimboni kufanya utafiti. Tulitaka kujiridhisha juu ya maswali yafuatayo;- 1. Je, rushwa ilitumika ktk mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm...
  17. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

    Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
  18. Justine Kakoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu 20 za kumfanya mtoto aweze kuongea mapema

    1. Kujiongelesha mwenyewe. Jiongeleshe mtoto akiwa karibu juu ya mambo unayoyafanya. Mfano, naosha vyombo sasa, napika chakula, nafagia nyumba. 2. Simama, mpe mtoto muda wa kujibu. Unapozungumza na mtoto, kaa kimya, mpe nafasi ya kujibu. Akishindwa kujibu msaidie kujibu kisha mtake arudie...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wazazi 35 kutoka Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto chini ya miaka 8 mbinu za kufanya tendo la ngono

    JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo. Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati...
  20. Mwananchi360

    JamiiForums Tanzania Majukumu na kazi za Meya/ Mwenyekiti wa Halmashauri/ Diwani/ Wenyeviti wa Vijiji, mitaa na Vitongoji

    UTANGULIZI 1.1 Kwa mujibu wa ibara ya 145 na 146 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali za Mitaa ni vyombo vya haki na vyenye mamlaka ya kushiriki na kushirikisha wananchi katika kupanga na kutekeleza shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma katika sehemu zao. Serikali za Mitaa...
Back
Top Bottom