Tujuzane kuhusu biashara ya Stationary, Mbinu, faida na hasara

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,943
2,000
1617797141089.png
Wakuu,

Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara.

Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara.

Asante ni.
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
139,352
2,000
Jambo la muhimu: Location, location, location. Ukipata karibu na mahali ambapo watu wanakuja kupatiwa huduma zinazohusiana na mambo ya stationary itakuwa safi sana. Tafuta location nzuri. Mengine wadau watakuja kuongezea.
 
Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,943
2,000
Jambo la muhimu: Location, location, location. Ukipata karibu na mahali ambapo watu wanakuja kupatiwa huduma zinazohusiana na mambo ya stationary itakuwa safi sana. Tafuta location nzuri. Mengine wadau watakuja kuongezea.
Kuna center nimeiapata ipo stendi, karibu na shule mbili na ofisi za serikali za mitaa...hapo vipi?
 
S3616

New Member
Oct 13, 2020
1
0
Of course location kwenye biashara ya stationary ni jambo la muhimu sanaa pia kuangalia poplation ya watu waliokuzunguka kujua hari yao na kipato chao.....usije kuanzisha stationary afu purchases zikawa za galama kuzid kipato cha watu waliokuzunguka!
 
Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,943
2,000
Of course location kwenye biashara ya stationary ni jambo la muhimu sanaa pia kuangalia poplation ya watu waliokuzunguka kujua hari yao na kipato chao.....usije kuanzisha stationary afu purchases zikawa za galama kuzid kipato cha watu waliokuzunguka!
Kwa kweli mkuu. Nitazingatia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom