Wizi wa magari umerudi kwa kasi, jua mbinu za wezi wa magari

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,916
IMG-20210330-WA0139.jpg

Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM.

Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa.

Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ.

Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo na wezi wa magari.

1. Kufunga GPS kwenye gari wanalotaka kuliuza ili waliibe in future
Kuna mchezo hua unafanyika, aliekuuzia mmiliki/dalali Gari anabaki na Funguo au hata kuchonga.

Kama huo funguo hauna Sensor halafu gari linakua lina GPS tracker somewhere after sometime wanakuja kuchukua kama yao itakapokuwepo.

2. Car wash/ garage kuchonga funguo za gari yako
Garage na sehemu za kuoshea magari kukiwa na watumishi wasio waaminifu wanaweza kuliwekea alama gari yako, wakachonga funguo na kuanza kukufuatilia na kisha kuiba gari yako. Pendelea kuoshea gari nyumbani au uwe na sehemu moja tu ya kuoshea. Na pia Ni vyema ukawa na sehemu moja tu na fundi wako mmoja wa kushughulika na gari yako.

3. Special app hutumika kwa keyless vehicles
Kwa magari ambayo ni keyless, Yale yasiyotumia funguo kuingia ndani wezi hutumia special app ambapo hizi mbinu hutumika:-
  • Signal relaying​

  • Signal jamming​

  • Key programming​

  • Code grabbing​

Nishaona mtu anaibiwa gari live yani sio kitu poa,,mlio tutangulia kumiliki magari Mungu awapatie ulinzi kwa kweli japo msisahau kuyazindika pia
 
Yule mtangazaji wa ITV mnzanzibari alitumia mbinu ipi kumlaza mwizi fofofo,sijui mnakumbuka ndugu zangu?
 
Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM.

Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa.

Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ.

Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo na wezi wa magari.

1. Kufunga GPS kwenye gari wanalotaka kuliuza ili waliibe in future
Kuna mchezo hua unafanyika, aliekuuzia mmiliki/dalali Gari anabaki na Funguo au hata kuchonga.

Kama huo funguo hauna Sensor halafu gari linakua lina GPS tracker somewhere after sometime wanakuja kuchukua kama yao itakapokuwepo.

2. Car wash/ garage kuchonga funguo za gari yako
Garage na sehemu za kuoshea magari kukiwa na watumishi wasio waaminifu wanaweza kuliwekea alama gari yako, wakachonga funguo na kuanza kukufuatilia na kisha kuiba gari yako. Pendelea kuoshea gari nyumbani au uwe na sehemu moja tu ya kuoshea. Na pia Ni vyema ukawa na sehemu moja tu na fundi wako mmoja wa kushughulika na gari yako.

3. Special app hutumika kwa keyless vehicles
Kwa magari ambayo ni keyless, Yale yasiyotumia funguo kuingia ndani wezi hutumia special app ambapo hizi mbinu hutumika:-
  • Signal relaying​

  • Signal jamming​

  • Key programming​

  • Code grabbing​

Weka comp insurance uwe na amani! Kuzuia mwizi sio kazi rahisi labda utembee na gari mfukoni.
 
Kuhusu comprehensive insurance...

Hivi huwa wanajiridhisha vipi kuwa ni kweli gari imeibiwa?

Namaanisha kwamba mwenye gari si anaweza akaframe huo wizi yeye mwenyewe halafu akadai bima wamlipe.

RRONDO
 
Police report ndio kielelezo cha mwisho
 
Back
Top Bottom