Aisee huu mwaka mambo yamebadilika kabisa.
Hapa ni Mlima Nyoka watu wamekusanyika kupokea ujio wa Lissu ambaye anakadiriwa kuwa umbali wa kilomita zaidi ya 150 kufika hapo walipo.
Ikumbukwe kutokana na msafara wake jana kusimamishwa mara kwa mara alishindwa kuhutubia mwembe togwa Iringa na...
Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
Timu ya TZ PRISON imehama kutoka kutumia uwanja wa sokoine jijini mbeya hadi kutumua uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoa wa Rukwa, uwanja wa Nelson Mandela ndio ulitumika kwenye fainali zilizopita za kombe la Azam Federation
Amani iwe kwenu!
Wakuu, natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa shule binafsi ya Wasichana kwa tahasusi ya EGM.
Shule iwe katika moja ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Tabora au Mwanza.
Natanguliza Shukrani.
Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema.
Sugu amekamatwa pamoja na...
Grants Manager
Position location: Mbeya, Tanzania – With frequent travels to the Country Office in Zanzibar and various Field Programs Offices within the Country
Terms of references, duties and responsibilities:
The Grants Manager will report to the Country Director. The primary objective is to...
Habari wanajamvi,
Kiukweli kuunganishiwa umeme kwa jiji la Mbeya, imekuwa kama ni hisani. Nimelipia nguzo ili niunganishiwe umeme laki 567,000 tokea mwezi wa pili lakini hadi leo sijapata huduma ya kuunganishiwa umeme.
Nimefuatilia ofisini kwa mara kwa mara wanasema tutakuja tutakuja lakini...
Wakuu kati ya maswali yanayogonga kichwa changu ni hili la kuhusiana na Wanawake Mbeya.
Nilienda Mbeya wakati wa rikizo, na nilipata kutembelea wilaya mbalimbali za Mbeya.
Nilichoshangaa kuona ni hiki, kila mwanamke niliye kua namwona alikua amebeba bonge la shepu nyuma lililo jazia.
Sasa...
Nikiwa kama ' Mzalendo ' wa nchi hii pendwa na tukuka kabisa ya Tanzania nadhani Kisheria nina Wajibu wa Kutoa Mawazo yangu ya Kimtazamo na ikibidi hata Kuwasaidia Wahusika hasa Mamlaka zenye Dhamana ya Haki na Usawa nchini katika Kutekeleza Majukumu yao mema kwa Ustawi wa Amani na Demokrasia ya...
Mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu Cha sayansi na technologia Mbeya (MUST) ndg Linus Magesa (21) ameuwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha Kali kifuani na mtu anayesadikika kua ni mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Suzy (19). Chanzo kikisadika kua Ni wivu wa mapenzi, Mtuhumiwa anaendelea...
Kwa tathmini niliyoifanya katika mikoa ya Mara, Iringa na Mneya ni kwamba Chadema bado ina ushawishi kwa kiasi fulani na hata kama itapoteza wabunge lakini itapata madiwani.
Kilimanjaro na Arusha hali ni tete na yawezekana ikabakia katika historia tu kwamba kaskazini " iliwahi" kuwa ngome ya...
Habari wana JF,
Naomba kujua nauli ya basi kutoka Mbeya hadi Kigoma ni shilingi ngapi? Pia, naomba kujua kama kuna basi la moja kwa moja Mbeya to Kigoma?
Nawasilisha.
Hatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe. Mbunge na Naibu Spika Dkt Tulia kachukua fomu ya kugombea Ubunge wa Mbeya 2020-2025 kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11.
Hatimaye aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Mbunge wa...
ASANTENI sana Mbeya kwa mapenzi makubwa kwa chama chetu na kwa kunidhamini. Ilikuwa furaha sana kufanya mazungumzo na Mkt wa
@ChademaTz
Wilaya ya Mbeya, John Mwambigija a.k.a Mzee wa Ipako.
Kwanza nawaomba radhi wana JF kwa kuchelewa kuleta tathmini kuhusu mikoa tajwa hapo juu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Nilipatwa na dharura ya kimaisha iliyonifanya nirudi nyumbani Arusha. Kabla ya kuja huku, nilitembelea mikoa ya Iringa na Mbeya. Nitarejea Moro na tena Njombe...
Wanajamvi,
Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini.
Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa kupata shamba Mbeya Uyole au Mbulu kama inawezekana nipate mawasiliano yako tujadili kuhusu upatikanaji...
Ni kama utani vile lakini ndio hali halisi.
Mtandao wa kupata leseni za Udereva kwa wiki mbili na zaidi haupo hovyo hata kulipia huwezi kabisa, Mbaya zaidi hawajatangazia Umma hiki kitu.
Iweje mtandao tuliosuka wenyewe utusumbue kihivyo, au hao wataalamu wa IT ni wajomba wa watu fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.