mbeya

  1. mawaridi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

    Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametangazwa kupata kura 37,591 katika nafasi ya pili. PIA SOMA = > Uchaguzi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mbeya una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:- Mbeya Mjini - Tulia Ackson(CCM) - Kura 75,225...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Chalamila: Nilikuwa nahesabu masaa tu kwa walioni-beep. Kwenye hizi chaguzi mtu asidhani 'atani-beep' alafu niache 'kumpigia'

    23 October 2020 Mbeya, Tanzania RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau. Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

    Nilidhani wakati huu wa uchaguzi wapiga kura ni WAFALME. Kitendo cha Magufuli kupiga magoti na kuwaomba Wanambeya kura kilionyesha unyenyekevu na heshima kwa wapiga kura. Wagombea lukuki wa CCM wamekuwa wakijishusha na kupiga magoti kuomba kura. Nadhani ni utaratibu mzuri. Nimeshangazwa na...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

    Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni. Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana...
  6. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

    Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza. Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Mgombea ubunge wa CHADEMA Mbeya Mjini aendelea na Kampeni maeneo ya Itezi

    Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge aliyechaguliwa kwa kura lukuki kuliko wote. Hebu angalia hapa Kata ya Nsalanga leo, Eneo la Itezi Mashariki.
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege yupo Mbeya kwa Huduma ya kiroho (MANA)

    Mwalimu Christopher Mwakasege yupo jijini mbeya toka tarehe 15/10/2020 akifundisha neno la Mungu lenye kichwa cha habari "Imarisha imani yako kuelekea msimu mpya" Binafsi nimebarikiwa sana Ungana nae kupitia upendo TV kwa azamtv na startime decorder ,mbarikiwe wana jamii forum. Mytake Hivi...
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kyela-Mbeya: Nitatumia elimu yangu kukuza uchumi na kufuta umasikini katika nyanja zote

    NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA" KYELA- MBEYA Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulia Ackson, Wana Mbeya tunasema fedha siyo za Rais fedha ni za umma, usitupotoshe

    Dr. Tulia Ackson Ni vyema ukajifunza unapozungumza na Wananchi na ukatambua nafasi ya kazi unayotuomba tukupatie Wana Mbeya. Kazi ya Mbunge siyo kwenda kuomba fedha kwa Rais, fedha za nchi ni zetu. Kazi ya Mbunge Ni kwenda kusimamia utungwaji wa sheria, usimamizi wa rasilimali zetu zikiwemo...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa Kata: Joseph Mbilinyi aendelea kuomba kura Mbeya Mjini

    Hii hapa ni Kata ya Maendeleo , Soko Matola
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa Kata: Mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mbeya mjini, shughuli imekwisha

    Huu ni mkutano uliopigwa leo na Mbunge wa milele wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi kata ya Ilemi ambaye pia wenyeji wa hapo humuita Rais wa Mbeya . Mtu huyu ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hana mambo mengi kwenye mikutano yake, hushirikiana na watu wa Mbeya tu akiwemo Mtu mzito John...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : Mbeya moto ! Sugu atikisa tena , awachezesha dansi wapiga kura jukwaani , uwanja walipuka kwa shangwe

    Mbunge wa Milele wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi Jongwe , leo tena kwenye kampeni zake ameiteka tena Mbeya bila bunduki kwa kuwachezesha dansi wapiga kura alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni . Huyu hapa .
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa Kata: Sugu aendelea kusonga mbele Mbeya Mjini

    Hii ni Kata ya Sinde
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Kata kwa Kata yafika Kata ya Ruanda, Joseph Mbilinyi aendelea kusafisha mabaki ya CCM Mbeya Mjini

    CCM walidanganyika mno kudhani Uchaguzi wa 2020 ungekuwa rahisi, haifahamiki kama aliyewadanganya alikula njama au ilikuwa bahati mbaya ( tunaendelea kuchunguza ) Hapa chini nimeweka video fupi ili hata wale wenye bando la mashaka kutokana na kufa kwa Uchumi wa Tanzania wajionee kifo cha CCM...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi Kampeni: Mgombea wa Mbeya Vijijini ubunge

    17 September 2020 Mbeya Vijijini Tanzania Kamanda China wa China Joseph Mwasote Mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA kamanda Joseph Mwasote hatimaye azindua kampeni yake ya 2020 baada ya Tume ya Uchaguzi kurudisha jina lake liliokuwa limeenguliwa kufuatia pingamizi alilowekewa...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia atema cheche Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu watu wafurika mkutano wake

    Mama Dk Tulia kachachamaa majukwaani Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu.
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 TRIANGLE ATTACK: Joseph Mbilinyi (Sugu) atikisa Kata kwa Kata Mbeya Mjini

    Hii hapa ni kata ya Iganzo, huyu mtu anasafisha mji kwa kushirikiana na watenda kazi wa hapohapo Mbeya akiwemo mtu mzito, John Mwambigija . Ufafanuzi kwa wageni na wengine, hii TRIANGLE ATTACK au Pembe tatu ndio mfumo mpya wa CHADEMA kwenye mashambulizi ya uchaguzi huu unaowafanya wengine...
Back
Top Bottom