Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
========
UPDATES
Njombe Mjini
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali
Huyu kijana kuna haja ya Africa kumpa tuzo maalum , si rahisi kwa raia kuikalisha chini serikali yote Mbeya , kwa jinsi anavyoungwa mkono Mbeya Mjini imefanya hata yule polisi aliyemkamata siku anarudisha fomu kuogopa hata kujitokeza hadharani , inasemekana anaogopa hata kwenda dukani kununua...
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-
1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anatokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia Mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu.
2. Mfumo...
Habari wana Jamiiforums
Baada ya jana kutabiri mikia kutoa sare, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Mbeya city katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Nawakaribisha mashabiki wa mikia wajifunze na waweze kuona mpira wa ukweli na usio na makandokando.
Na ichi ndicho kikosi cha...
Huyu Tulia akson Tangu ateuliwe na Magufuli kama "mbunge wa Dar" (Ndipo alipo pigia kura ya meya), alianza maandalizi ya kupata ubunge wa kuchaguliwa, mwanzoni nguvu zote alizielekeza huko kwao alikozaliwa ila baadaye akaona isiwe tabu akahamia Mbeya mjini kujaribu kumtoa Sugu.
Akaanzisha...
Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto muda huu. Chanzo bado hakijafahamika.
Waliopo karibu na eneo watupatie taarifa zaidi.
Chanzo: EATV
CCM MBEYA MJINI, WAIJIBU CHADEMA
Na Elius Ndabila
Wiki iliyopita Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walifanya mkutano mkubwa wa Kampeni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya. Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa kuomba kura kwa Mh Lisu anaye gombea Urais ulihudhuriwa na watu wengi...
Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa.
Watoto ambao walihitaji kulindwa na serikali dhidi ya kushiriki matendo wasiyokuwa na ufahamu nayo kama vile siasa za kampeni...
NGUVU YA CHADEMA HAIPO TENA MBEYA, WATAPIGWA OCTOBER 28
Na Elius Ndabila
Kuna watu jana baada ya Mh Tundu Lissu kufanya mkutano wake jijini Mbeya wamekuja na kauli kuwa Mbeya mjini ni ya CHADEMA. Bahati mbaya wamefanya utafiti ambao kisiasa ni inlogic. Kabla sijatoa hoja madhubuti ya kupinga...
Kwa ufupi mbeya sio wanafiki sio watu wa kujipendekeza hawaendeshi kiboya na hawaogopi mtu.
Hii inasababishwa na hulka ya wale watu ni wachapakazi hivyo Wana financial muscles mtu mwenye uchumi mzuri hapelekeshwi Wala hababaishwi.
Mathalani mfano wanyakyusa moja ya makabila ya mbeya na moja ya...
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa .
Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais...
Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa eneo hilo.
Kwa wazoefu wa hii biashara mbeya je eneo gani lingine naweza fanya hii biashara kwa hapa...
Wasalaam wajumbe humu!
Leo hii kila jimbo ambapo CCM wamechukua form za ubunge na udiwani maeneo mengi nchini wameandamana kwenda ofisi za NEC.Lakini huyu OCD wa mji wa Mbeya sijui kaishia darasa la ngapi, nimeona live akiongea maneno yaliyojaa chuki dhidi ya SUGU eti akidai ana heshima gani...
MBEYA NA IRINGA BADO NGOMA NGUMU
Na, Robert Heriel
Kama kuna majimbo ambayo CCM itahangaika sana ni pamoja na Iringa Mjini, Mbarali, Mbeya Mjini, na Tunduma Mjini.
Kanda ya juu Kusini sasa ndio itakuwa kambi Rasmi ya Upinzani tofauti na sasa ambapo Kanda ya kaskazini mashariki yaani Arusha...
Aisee huu mwaka mambo yamebadilika kabisa.
Hapa ni Mlima Nyoka watu wamekusanyika kupokea ujio wa Lissu ambaye anakadiriwa kuwa umbali wa kilomita zaidi ya 150 kufika hapo walipo.
Ikumbukwe kutokana na msafara wake jana kusimamishwa mara kwa mara alishindwa kuhutubia mwembe togwa Iringa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.