Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,192
144,825
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.

1597813575702.png
 
Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
CCM ina mbinu zote za kishetani. Hii ni mojawapo. Kijana, Mbeya ni pagumu kwa hawa mashetani wa lumumba. Kuchoma moto ofisi ndio mbinu iliyobaki; kama ilivyofanyika kule Arusha, napo ni pagumu kweli kweli kwa mashetani wa kijani kutoka lumumba.
 
Hata mm nashangaa mtu mwenyewe anajiscrabu yupo laini laini hilo buti sijui atampigaje huyo mtu?
CCM mbona zao hazichomwi?

CHADEMA mmezidisha upole ndiyo maana hadi nape alikuwepo anasema atapiga mtu buti.

ivi nape anaweza kumpiga ata mkewake kweli?
 
Serikali ya CCM kupitia Jeshi la Polisi ambalo mara kibao limejinasibu kupata taarifa za kiintelijensia za fujo kwenye mikutano ya Cdm limeshindwa kupata taarifa ya Cdm kujichomea ofisi zao ili wapate kiki na kuwachukulia hatua za kisheria?
Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
 
Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
Wewe ------- hujui ulisemalo, Tayari vijiwe vyote washawatambua hao CCM waliopewa hela ya ubwabwa kuchoma ofisi Moto,halafu unakuja na dela lako kuongea utopolo wako hapa
 
Back
Top Bottom