Kwa kweli inasikitisha mno, Mwanafunzi
Naomba wana JF muisikilize audio hii kwa umakini pia vyombo vya serkali vinavyohusika vichukue hatua.
==========
UPDATES...
Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa PCB, Shule ya Secondari Pandahill hajulikani alipo baada ya kudaiwa...
Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao.
Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa...
Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma.
Moja ya mkoa huo ni Shinyanga.
Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%.
Kinachoshangaza ni...
Kwanza poleni kwa misiba. Japo mpo kwenye huzuni lakini tuongee hili suala la kutangaza misiba barabarani.
Mbeya kama msiba unasafiri, basi msafara unakuwa na gari la matangazo ambalo linakuwa na MC akitangaza msiba. Utasikia, "Ni huzuni ni huzuni kwa wafanyakazi wa benki ya NMB kufiwa na...
Nikiwa Mbeya 2022 nilifahamiana na bwana mmoja tuliyekuwa tunamuita ngosha lakini baadae nilitambua anaitwa Katemi. Huyu mtu nilifahamiana naye baada ya kuwa tunaonana mara kwa mara sehemu ambayo nilikuwa napenda kushinda ni mtu ambaye tulikuwa tunaheshimiana na ni mtu mzima.
Kwa muonekano...
Habari wana JF,
Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
Mwenye hofu ya Mungu
Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume
Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea
Awe na shughuli halali -...
Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
Nakumbuka mwaka jana niliona kuna memba mmoja wa JF aliandika kuhusu huduma mbovu zinazotolewa na Hospitali ya K’s iliyopo Mbeya, sikuwa nimeweka umakini sana lakini kilichotokea wiki hii ndio nimeona kweli hiyo hospitali ni ya kidwanzi.
Wiki moja iliyopita nilifika hospitalini hapo si kwa...
Siasa siyo Uadui.
Akiwa kwenye Ziara ya kichama Jijini Mbeya KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe na ujumbe wake wametembelea.Hotel ya mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Bilionea Sugu
Zitto Kabwe anesema Wawekezaji wa ndani ni lazima watiwe moyo na amempongeza sana mh Joseph Mbilinyi.
=====
Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM.
Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
Sisi wana Mbeya ni wahanga wa matukio ya kibabe ya kidhalimu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na chama hiki mumiani. Miongoni mwa udhalimu huo ni kuporwa kwa uwanja wa wananchi, uwanja wa Sokoine kisha CCM kujimilikisha.
Uwanja wa Sokoine ulijengwa na wananchi wa Mbeya Mjini, kisha...
Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875
Karibuni sana, bei ni maelewano.
Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa.
MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano
Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu!
Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka!
By
Msemaji wa wasio...
#HABARI Waziri wa Maliasili Mohamed Mchengerwa na RC Mbeya wamefika Kijiji cha Mwanavala wilayani Mbarali kutokana na agizo la Waziri Mkuu la kuwataka kufika ili kuona hali ya ugomvi uliotokea baina ya wananchi na Askari wa TANAPA na kubaini hakuna vifo wala mifugo iliyoshikiliwa wala ng'ombe...
Hello there !
Niko Mbeya, katika Uzi huu ntakuwa naweka bei za vyakula
Mbalimbali kutoka Mbeya, kama mtu unataka utawasiliana
Na Mimi,makubaliano yatakuwa hivi, mi nitaweza kukuagizia
Kuanzia kilo ishirini, mfano Mchele au maharage
Ikiwa utaagiza kilo ishirini za Mchele, katika Kila kilo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu.
Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma...
Mtoto mmoja wa kiume ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mkapa iliyopo Jijini Mbeya amefanyiwa ukatili wa kulawitiwa na mwanafunzi mwenzie wa darasa la saba shule hapo aliyejulikana kwa jina moja la Arafat.
Mtoa habari hizi amefanikiwa kumuhoji maswali mwanafunzi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.