Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.
Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.
Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.
Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.
Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?