mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ratiba ya msafara wa njia ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa

    Ratiba ya msafara wa njia ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa
  2. D

    CHADEMA ipewe hadhi sawa na CCM mazishi ya Lowassa

    Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA. Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya...
  3. Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC. Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia...
  4. Ndugu Harrison Mwakyembe tafadhali tukutane Monduli kwenye mazishi ya shujaa Edward Lowassa!

    Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi...
  5. Freeman Mbowe na Tundu Lissu washiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Kweka

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka . Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa, Freeman Mbowe amemtaja...
  6. Sagini ashiriki ibada ya mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Novemba 14, 2023 ameshiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu Edward Magige ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika Kijijini kwao Wilayani Butiama Mkoani Mara...
  7. Kikwete amuwakilisha Rais Samia katika hafla ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Finland, Hayati Martti Ahtisaari, Novemba 10, 2023

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Finland, Hayati Martti Ahtisaari iliyofanyika Helsinki tarehe 10 Novemba 2023. Wakati wa...
  8. Sagini ashiriki mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Daudi Charle's Nyerere mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Charle's Makongoro Nyerere wakati wa...
  9. B

    Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  10. Serikali iangalie huduma ya mazishi kwa wasiosali/wasioamini dini

    Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote. Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au...
  11. Kwa hawa watu wanaobadili dini, Ndugu na wanafamilia wa dini tofauti wajiandae kwa lipi kwenye mazishi yao?

    MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI: Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
  12. Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  13. Siku 10 za Maombolezo na Mazishi ya Malkia Elizabeth II ziliigharimu Serikali Tsh. Bilioni 473.9

    Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022. Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na: Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m Idara ya...
  14. Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

    Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe. Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake. Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi...
  15. V

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  16. Utata kifo cha Nusura, Ndugu wahoji uharaka wa mazishi bila uchunguzi

    Picha: Nusura Abdala enzi za uhai wake Vumbi la kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah bado linazidi kutimka baada ya ndugu kutilia mashaka uharaka wa mazishi yake huku baba mkubwa wa marehemu akija na maswali matano. Wakati umma ukiendelea kupaza sauti ukitaka...
  17. Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

    Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo, Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.: Mtu anafariki , anahifadhiwa...
  18. Kigogo polisi adaiwa kukimbia na Sh4.8 bilioni za ‘mazishi’

    Nani waliochota mabilioni haya. Hili ndilo swali ambalo wengi wanajiuliza baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kubaini ufisadi wa Sh4.8 bilioni za mfuko wa kufa na kuzikana ndani ya Jeshi la Polisi nchini. Awali, ufisadi huu uliibuliwa na gazeti la Mwananchi...
  19. Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

    Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa. Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
  20. Katavi: Wanaume wamewasusia wanawake kushiriki mazishi ya watoto kutokana na imani za kishirikina

    Hamjambo? Wanaume wa kitongoji cha Namanyere kwenye mji mdogo wa Majimoto mkoa wa Katavi wamesusia wanawake kushiriki maziko ya watoto wanaofariki kwa madai kwamba vifo ni vya ushirikina unofanywa na wanawake. === Kwa utamaduni wa maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…