mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gama

    JamiiForums Tanzania Canada: Njia mpya za mazishi ambapo masalia ya mwili wa marehemu hufanywa kuwa mbolea

    Huko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo huwekwa masalia ya mwili baada ya kuchomwa. Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya...
  2. Gama

    JamiiForums Tanzania Jino la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo, Patrice Lumumba lapokelewa na kupewa mazishi ya heshma

    Nchini DRC nchi nziam ilizizima kwa majonzi baada ya jino la aliyekuwa Waziri mkuu wa kwanza wa nchi hiyo kupokelewa kutoka nchini ubelgiji ambako limekuwa likihifadhiwa. Imedaiwa kuwa mtu mmoja aliyekuwa askari polisi wakati wa mauaji ya kinyama ya kiongozi huyo aliamua kuhifadhi jino hilo kwa...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vatican yalaani vurugu za Israel katika mazishi ya mwandishi wa habari

    Mwakilishi wa Vatican Nchini Jerusalem, Monsignor Tomasz Grysa ameijia juu Israel kwa kukiuka makubaliano ya miongo kadhaa ya kutetea uhuru wa kidini la mwaka 1993, baada ya kufanya vurugu katika mazishi ya mwandishi wa Habari Shireen Abu Aqla. Askari wa Israel waliwapiga waombolezaji...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanawake wasusiwa mazishi, wanaume wagoma kushiriki kisa wakituhumiwa kuua waume zao

    Wanawake katika Kijiji cha Imaramawazo, Mtaa wa Ibongo, Kata ya Ludete, Wilaya ya Geita wamesusiwa kuchimba kaburi na kufanya mazishi ya Zawadi Mchele mkazi wa kijiji hicho aliyefariki kwa kuugua ghafla, sababu ikiwa ni wanawake hao kuhusishwa na tuhuma za mauaji ya wanaume katika kijiji hicho...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mwai Kibaki: Ni muhimu kuhudhuria!

    MwanJumui wa Africa Rais Mstaafu Mwai Kibaki tutakukumbuka daima. Hasa Thika Super highway na elimu bila malipo.
  6. captain dunga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mazishi mwili wa Balozi Edwin Rutageruka, kuzikwa Bukoba Februari 19

    Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Tanzania, Balozi Edwin Rutageruka aliyefariki dunia 13 Februari, Hospitali ya Agha Khan, Dar es Salaam, utazikwa Bukoba mkoani Kagera Jumamosi hii Februari 19, 2022.
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwili wa bondia wakwama MOI, deni la Sh milioni 6 latajwa, mabondia wajichangachanga

    Hadi kufikia asubuhi ya leo Ijumaa Februari 11, 2022 mwili wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Vincent Mbilinyi umeshindwa kutolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya mazishi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kuna deni la Sh milioni sita za matibabu yake. Mbilinyi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi force Tz: Fahamu taratibu za mazishi kwa askari . Askari aliyejiua hazikwi kijeshi

    Tuelewane!!! #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/pYpOG00jIv
  10. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleon atoa maagizo ya mazishi yake

    Mwanamuziki nyota wa Uganda Jose Chameleone ametoa maagizo ya wazi jinsi atakavyozikwa kifo kitakapomjia. Chameleone haogopi kifo hata kidogo, ikiwa kuna chochote, angependa kufaidika na kifo chake. Wakati wa mahojiano na NBS, Chameleone alisema meneja wake anajua ni ibada gani angependa kwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kigoma: John Mnyika awasili kushiriki mazishi ya Ally Kisalla

    Taarifa ya Chadema Mkoani Kigoma inaeleza kwamba, Mh Mnyika atashiriki Shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani humo Ally Kisalla, yanayotarajiwa kufanyika leo. Kamanda Ally Kisalla alifariki January 5, 2022 katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam.
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeneza la Askofu Desmond Tutu lichukukiwe kama somo kwa wanaopenda ufahari kwenye mazishi

    Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Geita: Ajali yaua 10 Bukombe, gari la Jeshi lilitokea Bukoba kwenda Dar

    Watu kumi wamefariki Dunia katika ajali ya magari mawili katika kijiji cha Ilalwe kata ya Bukombe wilayani Bukombe Mkoani Geita. Mkuu wa wilaya ya Bukombe Said Nkumba amezungumza na TBC kwa njia ya simu na kuthibitisha tukio hilo na kwamba shughuli ya utambuzi wa maiti hizo bado unaendelea...
  14. game over

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wawili waliofia mikononi mwa Polisi kwa kukiuka 'curfew' wazikwa

    So sad though. Police wa Kenya wanamaliza wakenya kuliko Corona yenyewe. Vijana wawili ndugu wa kuzaliwa (Embu brothers) Emmanuel Mutura 19 na Benson Njiru 23 years waliofikwa na umauti wakiwa mikononi mwa polisi hatimae wamepumzishwa kwenye nyumba Yao ya Milele. Vijana Hawa walifikwa na...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mbowe baaada ya kutoka mazishi ya kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa ajiweke Lockdown kuepuka kuambukiza wengine

    Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu. Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye familia ya Mbowe sababu mwanawe Mbowe aliumwa Corona kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe. Baada ya hapo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ilivyokuwa ibada ya kumuaga TB Joshua

    Prophet T.B. Joshua Lying in State. Earlier, there was a procession conveying the body of God’s servant from The SCOAN Prayer Mountain to the church auditorium at The SCOAN, Ikotun-Egbe, Lagos, Nigeria. Peaceful indeed is the rest of a man who preached and acted nothing but love, humility...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

    Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

    DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO. Na, Robert Heriel Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI. Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Kagera kuhudhuria Mazishi ya Profesa Baregu

    Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu . Taarifa zinaonyesha kwamba...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
Back
Top Bottom